Ahahahaaah...
Poleni sana mazee...
Ila timu kama Barca ikifungwa huwa najua ni Bahati mbaya tu..!
Sio kama wale NYUMBU wengine wa UINGEREZA waliokalia kubebwa na HISTORIA..!
Barca bado hajaanza league,jikokoteni wakati simba akiwa kalala punde akiamka itakuwa hatari-hii mechi tulikuwa tuna experiment mambo Fulani-yakishatengemaa Barca tunategemea ata revolutionise SOCCER to level never before seen on mother earth