Sio kwamba hawafai,Kocha ndio amekuwa kiazi.
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri,barca hufungwa au huwa na wakati mgumu sana wakitoka international teams (tangu Kocha aingie hajaweza kuona tatizo hilo au analipuuza)
Kikichotokea amepanga tena kikosi (wachezaji wazuri )lakini hawajazoeana
Gharama za namna hii ni kubwa mno, point tatu kwa Spain ni mlima mkubwa sana kuupanda ,ikitokea bahati mbaya classical number 1, tukafungwa, hali itakuwa mbaya zaidi