Messi ikiwa ndio mara yake ya tatu kucheza michuano hii ya Club World Cup ana jumla ya magoli matano mpaka sasa kwenye michuano hii akiwa sambamba na mchezaji Delgado... leo hii Luis Suarez anaungana.na jamaa hawa kwa kuwa na idadi hyo ya magoli matano akiwa amecheza michuano hii kwa mara ya kwanza kwa mechi mbili tu....
Shikamoo Suarez...