******FC Barcelona La liga Standing*********
Kwa mechi 5 tulizocheza barcelona imeshinda match 4 imepoteza mechi 1, inashika nafasi ya nne ikiwa na Point 12 nyuma ya vinara Real Madrid point 13 ( mechi ya tano kwa madrid bado inaendelea na anaongoza Goli 1 bila) celta vigo point 13 na Atletico Madrid point 12.