Mvua ilitakiwa kunyesha lakini haikuwa hivyo,so humidity inawezekana ikawa high,inawezekana ikawa ni factor maana wachezaji naona hawazunguki na kuhaha uwanjani kama kawaida kwenye mechi kama hii,hili linawapa sana nafasi Barca...Barca wanawanyanyasa sana leo na kama Man U wanataka ushindi basi kwa mtaji wataula wa chuya....Etto,Messi na Henry wana magoli 98 kwenye mashindano makubwa btn them,na hapa naona wamekoswa koswa Man U.