Hata Icadon a.k.a Mwenyekiti wa Man U hapa JF anafahamu kuwa leo nipo upande wa Barca mkuu MN, hawa walitucheka tulipokandamizwa na Barca, it's your turn man!
kweli umeamua kuwa barca, lakini angalia usije ukawa umeingia huko kufuata utabiri wa kibs aka sheikh yahya, utaondoka na maumivu ya kichwa kama siku ile