Flick tokea amefiwa na baba yake naona hayupo sawaHanc Flick ni mbinu zimeishagunduliwa na wapinzani au vijana kombe la dunia limedrain nguvu yote
Basi ndio sababuFlick tokea amefiwa na baba yake naona hayupo sawa
Ha ha ha we jamaa bhaanaa.Atletico wakiendelea kucheza hivi hivi sioni namna ya Barva kuweza kupindua matokeo.
Atletico wamekuwa clinical karibia maeneo mengi. Kwanza wakipoteza mpira wanakaba kwa idadi kubwa na kuwafanya Barca wasitawale mpira.