FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii timu yako tangia aondoke Ferguson imekuwa kama pamaba jiji.

Maji kupwa maji kujaa.

Hivi yule jamaa wa kufuga nywele bado anazo?
Mzee wa challenge bado yupo

Juzi baada ya kupigwa na Chelsea aliweka clip ya AI akionekana kunyoa.

Mwisho akasema bado anaendelea na challenge yake.
 
Mzee wa challenge bado yupo

Juzi baada ya kupigwa na Chelsea aliweka clip ya AI akionekana kunyoa.

Mwisho akasema bado anaendelea na challenge yake.
Duuh jamaa ana roho ngumu sipati picha urefu wa nywele zake kwa sasa.

Sema wazungu wanapenda sana kuweka rekodi.

Jamaa kama utani unaweza kuta anaingia kwenye historia ya Man United kama na nywele zake kuwekwa hata makumbusho ya timu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…