Olmo hatokuwepo ni majeruhi.2. Kocha akichanga karata zake vizuri kwa kuanza na Pedri na Rodri na Olmo anaweza akasaidia kuimaliza game mapema.
Sio mbaya sana Mkuu Game ya PSG alishikwa sana Olmo. Leo kazi tunayo pale kati.Olmo hatokuwepo ni majeruhi.
Nafkiri ataanza Fermin Lopez.
Kwenye kutawala dimba sina shida sana.Sio mbaya sana Mkuu Game ya PSG alishikwa sana Olmo. Leo kazi tunayo pale kati.
Leo tunarudi kwenye zilezile goals zetu kuanzia 5 kwenda juu
Mguu wowote tutakaoingia nao leo lazima tushinde, tena Madrid tunampgia mpira mkubwa sana leo.Mimi kwa current form yetu ukiachilia mechi na PSG naona tuko vizuri kuliko Madrid.
Madrid hawako vizuri kivile ila tusiwachukulie poa sababu mechi ni El clasico tukikaa vibaya watatufunga.
Ngoja tuone game itakwendaje.
Aleyn
Leo 4 au 5 zipo kweli Mkuu.Leo tunarudi kwenye zilezile goals zetu kuanzia 5 kwenda juu
View attachment 3698127
Mimi kwa current form yetu ukiachilia mechi na PSG naona tuko vizuri kuliko Madrid.
Madrid hawako vizuri kivile ila tusiwachukulie poa sababu mechi ni El clasico tukikaa vibaya watatufunga.
Ngoja tuone game itakwendaje.
Aleyn[/USER
[/QUOTE]
Sijapita hapa long tym ago. Habari mkuu. Leo mtashinda. Kwa backline ya Madrid sioni ni vp hawatapigwa. Konate na Hujsen ni uchochoro mbaya kabisa.Leo 4 au 5 zipo kweli Mkuu.
Pale kati wamemuweka mzee bernado, mbona waji wataita mma.Sijapita hapa long tym ago. Habari mkuu. Leo mtashinda. Kwa backline ya Madrid sioni ni vp hawatapigwa. Konate na Hujsen ni uchochoro mbaya kabisa.
Nikutakie ushindi mnono.