FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tapeli wakati katia kamba 2 juzi na ndio aliyefunga goli la ushindi kwenye WC
Tapeli tu huyo.

Kufunga sio kigezo kama ni mchezaji mzuri sana.

Mchezaji nafasi kumi za wazi anapata goli 1 au 2 za kudanganyia uingingie kingi.

Unafikiri angekuwa mtu wa kazi tungekubali aondoke kwa urahisi?
 
Hata Dembele aliondoka Barcelona na sababu mlizokuwa mkitoa mashabiki zilikuwa ni hizi hizi.

Mimi nitakuwepo siku hiyo kuwa hate watch.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…