- kANA - JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 4,088 Reaction score 10,553 Oct 26, 2024 #33,281 Roho imeniuma sana kushindwa kuwapiga tano hawa Madridiots. Sio kawaida yetu kuishia nne! π π π π π
Roho imeniuma sana kushindwa kuwapiga tano hawa Madridiots. Sio kawaida yetu kuishia nne! π π π π π
DungaMawe JF-Expert Member Joined Jul 31, 2022 Posts 1,525 Reaction score 4,659 Oct 27, 2024 #33,286 β€β€β€
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5,499 Reaction score 12,078 Oct 27, 2024 #33,287 - kANA - said: Roho imeniuma sana kushindwa kuwapiga tano hawa Madridiots. Sio kawaida yetu kuishia nne! π Click to expand... Aaaah aah cules hatuna roho mbaya. Tunagawa dozi kwa kipimo.
- kANA - said: Roho imeniuma sana kushindwa kuwapiga tano hawa Madridiots. Sio kawaida yetu kuishia nne! π Click to expand... Aaaah aah cules hatuna roho mbaya. Tunagawa dozi kwa kipimo.
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,362 Reaction score 5,607 Oct 27, 2024 #33,288 hydroxo said: Aaaah aah cules hatuna roho mbaya. Tunagawa dozi kwa kipimo. Click to expand... Kwanamna walivyo kuja au sio
hydroxo said: Aaaah aah cules hatuna roho mbaya. Tunagawa dozi kwa kipimo. Click to expand... Kwanamna walivyo kuja au sio
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,806 Oct 27, 2024 #33,289 Ni wiki ya visasi, Bayern Real madrid bado nani? Liverpool zamu yake itafika.
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5,499 Reaction score 12,078 Oct 27, 2024 #33,290 GUI1 said: Kwanamna walivyo kuja au sio Click to expand... Aah aah kabisa. Hawa nyumbu nlijua tunawakanda si chini ya goli 3. Hii Barca inatisha sana.
GUI1 said: Kwanamna walivyo kuja au sio Click to expand... Aah aah kabisa. Hawa nyumbu nlijua tunawakanda si chini ya goli 3. Hii Barca inatisha sana.
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5,499 Reaction score 12,078 Oct 27, 2024 #33,291 Half american said: Liverpool zamu yake itafika Click to expand... Yani katika historia yangu ya soka hakuna game roho inaniuma mpaka leo kama ile ya 4-0 Anifield. Ila naamini kisasi kitalipwa tu.
Half american said: Liverpool zamu yake itafika Click to expand... Yani katika historia yangu ya soka hakuna game roho inaniuma mpaka leo kama ile ya 4-0 Anifield. Ila naamini kisasi kitalipwa tu.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,806 Oct 27, 2024 #33,292 hydroxo said: Yani katika historia yangu ya soka hakuna game roho inaniuma mpaka leo kama ile ya 4-0 Anifield. Ila naamini kisasi kitalipwa tu. Click to expand... Ile gemu iliniumiza mno haitokaa ifutike kwenye kumbukumbu zangu ila ipo siku yao.
hydroxo said: Yani katika historia yangu ya soka hakuna game roho inaniuma mpaka leo kama ile ya 4-0 Anifield. Ila naamini kisasi kitalipwa tu. Click to expand... Ile gemu iliniumiza mno haitokaa ifutike kwenye kumbukumbu zangu ila ipo siku yao.
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5,499 Reaction score 12,078 Oct 27, 2024 #33,293 Half american said: Ile gemu iliniumiza mno haitokaa ifutike kwenye kumbukumbu zangu ila ipo siku yao. Click to expand... Kabisa ile game kila nikiikumbuka naona kama imechezwa jana kumbe ni miaka karibu mitano imepita.
Half american said: Ile gemu iliniumiza mno haitokaa ifutike kwenye kumbukumbu zangu ila ipo siku yao. Click to expand... Kabisa ile game kila nikiikumbuka naona kama imechezwa jana kumbe ni miaka karibu mitano imepita.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,803 Reaction score 55,606 Oct 27, 2024 #33,294 Kilichofanyika hapo ni sawa na mtu aje nyumbani kwako awabake wote
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,806 Oct 27, 2024 #33,295 hydroxo said: Kabisa ile game kila nikiikumbuka naona kama imechezwa jana kumbe ni miaka karibu mitano imepita. Click to expand... Acha kabisa hiyo gem, liverpool walikua na roho mbaya mno.
hydroxo said: Kabisa ile game kila nikiikumbuka naona kama imechezwa jana kumbe ni miaka karibu mitano imepita. Click to expand... Acha kabisa hiyo gem, liverpool walikua na roho mbaya mno.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,806 Oct 27, 2024 #33,296 Shadow7 said: Kilichofanyika hapo ni sawa na mtu aje nyumbani kwako awabake wote Click to expand... Alafu aondoke kibabe
Shadow7 said: Kilichofanyika hapo ni sawa na mtu aje nyumbani kwako awabake wote Click to expand... Alafu aondoke kibabe
GUI1 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 4,362 Reaction score 5,607 Oct 27, 2024 #33,297 hydroxo said: Aah aah kabisa. Hawa nyumbu nlijua tunawakanda si chini ya goli 3. Hii Barca inatisha sana. Click to expand... Nina fraha leo
hydroxo said: Aah aah kabisa. Hawa nyumbu nlijua tunawakanda si chini ya goli 3. Hii Barca inatisha sana. Click to expand... Nina fraha leo
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5,499 Reaction score 12,078 Oct 27, 2024 #33,298 GUI1 said: Nina fraha leo Click to expand... Leo cules wote tuna furaha duniani. Hawa jamaa walituzoea sana.
GUI1 said: Nina fraha leo Click to expand... Leo cules wote tuna furaha duniani. Hawa jamaa walituzoea sana.
D Dumija JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 231 Reaction score 256 Oct 27, 2024 #33,299 Mmejua kunifurahisha leo
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5,499 Reaction score 12,078 Oct 27, 2024 #33,300 Mtoto anatisha sana huyu. Umri mdogo akili nyingi.