Mimi toka draw inapangwa nilivyoona tu path yetu kuna Dortmund/Atleti/PSG i saw the possibility to reach the final,Why? quality ya hizi team na team yetu hatuachani sana.Barca watu wanaichukulia poa but believe this team Ina quality ya ku battle na team yoyote Ile ulaya,mtu anaesema Barca ana form mbaya aniambie toka Xavi atangaze kuondoka ,lini imepata worse results/performance?. Game ya PSG still Bado ipo open,but haitakua rahisi kwao kutoboa kwenye atmosphere yetu. Tukimtoa PSG. still Atleti/ Dortmund sio threat kwetu.Simeone tu kashapigwa san na Xavi,so nafasi kubwa tu tunayo.