FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sasa buyern atafanya, yul anapigwa nje ndani mkuu.

Nyie barcanyeto ndio mwisho hatua hii ya robo, psg anakisasi, kocha anakisasi.
Halafu we dogo wa asrse8 tupe heshima yetu.

Umesahau tulivyokuadhibu 2006 eeh au ulikuwa unanyonya?
 
Sasa buyern atafanya, yul anapigwa nje ndani mkuu.

Nyie barcanyeto ndio mwisho hatua hii ya robo, psg anakisasi, kocha anakisasi.
Napenda sana Barca tunavyochuliwa Underdog.This is Champions league brother,Knockout games sio league.Huku form ya kwenye league weka kapuni.Bayern unaemuona mbovu bundesliga kisa now anaongoza Leverkusen ,basi ukamchukulia poa!,huku ni experience ,mentality na moments.
 
PSG - Paris Saint-Germain Vs Barcelona hapa wanakutana Wote Unga unga,

Waswahili wanasema "Pipa Vs Mfuniko",

But to be Honest Barcelona Wana Afadhari kuliko Psg na kwenye Mechi ya Leo atakaetoka uwanjani na faida ni Barcelona,

Endapo Xavi ataingia Kwa nidhamu na kucheza Kama walivyocheza na Napoli Ugenini,
Barca wanaweza kushinda ama kudroo na hata wakipoteza basi sio Kwa idadi kubwa ya Magoli,

"Psg ni Mbappe na Mbappe ni Real Madrid, Kila la kheri kwake.
 
We are dark horse in this tournament,tupo kama hatupo vile, ila tupo.No pressure at all Kwa sababu we are not favourites to win the tie,ukiangalia pia performance zetu zilizopita kwenye michuano hii last time to reach Quarter final ni 2020 huko,but still we believe our players, we can battle with anyone.
 
Hey cules.

Game ya jana tumempiga PSG akiwa home.

Mechi ijayo tukikaza tukawatoa kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na vijana wa El Cholo (ATM) nusu fainali.

Watu wengi hawatupi nafasi kutokana na changamoto tunazopitia na form yetu kutokuwa na consistency

Ikitokea tunacheza nusu fainali na Atletico kuna uwezekano mkubwa sana wa kutoboa fainali.

Vipi maoni yenu cules wenzangu ikitokea tumetoboa mpaka fainali?
 
Mtakutana na Madrid na mtapigwa kama ngoma.
 
Mtakutana na Madrid na mtapigwa kama ngoma.
Tatizo sio kukutana na Madrid final.

Tatizo huyo Madrid atatoboa Etihad.

Nafkiri uliona alivyopelekewa moto na akafosi sare bernabeu

Ana kazi kubwa sana muhispania mwenzetu ya kumzuia Pep.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…