SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,411
Kwanini share iwe ndogo? Maana nimeona hiyo 50M ni release clause.Share yetu kwenye hiyo 50M ni ndogo sana ndo maana Barca wanasita kufanya negotiations so sidhani kama itatosha kumpata Silva na City walishaeka ngumu kumuuza.
Wewe tunakuvua underwear anywhere. Wala hausumbui!Nyie barcenyeto mmetufunga friendly match
Tutakutana kwenye ligi kenge nyie
Halla Madrid 🤍🤍
Sikuizi Barca kumfunga Madrid sio habari tena Babu Carlo kashakua teja kwa Xavi.Labda aondoke aje kocha mwingineNyie barcenyeto mmetufunga friendly match
Tutakutana kwenye ligi kenge nyie
Halla Madrid 🤍🤍
Bernado (Complicated deal) ,City bado wanamtaka!,Cancelo tunaweza kumpata City wanaweza kumuachia.Naona focus Kwa sasa ni RB Kuna Cancelo na Ivan Fresneda,Cancelo mzuri ku attack na huyu dogo mzuri ku defend, kazi kwetu.Tunamchukua Cancelo, then tunamalizia kwa Bernado Silva. Naona Dembele ameamua kufanya madudu kama ya Neymar!
Anyway, acha tuchukue pesa!
Uzuri ni kwamba, Bernado anaitaka Barca na Barca inamtaka Bernado. City huwa hawana noma na sisi. Laporta anaweza kufanya namna.Bernado (Complicated deal) ,City bado wanamtaka!,Cancelo tunaweza kumpata City wanaweza kumuachia.Naona focus Kwa sasa ni RB Kuna Cancelo na Ivan Fresneda,Cancelo mzuri ku attack na huyu dogo mzuri ku defend, kazi kwetu.
Shida iliyopo ni pesa mkuu,inavyosemekana katika Dili la Dembele Barca watapata €25M tu kama akiuzwa kwa release clause yake ya €50M ,pesa ambayo hatuwezi kumpata Bernado!,labda tungefanya sale ya €70M+ huko na City hawawezi kumuuza kwa bei ya kawaida.Ndio maana kwa sasa priority ni kumpata RB Cancelo/Fresneda kwa pesa itakayopatikana kwa DembeleUzuri ni kwamba, Bernado anaitaka Barca na Barca inamtaka Bernado. City huwa hawana noma na sisi. Laporta anaweza kufanya namna.
Pale City naona kama Pep anafanya reshuffling, anaweka watu wapya. Ndio maana hata akina Mahrez wametimka. Sitashangaa kama wakituachia Silva.
Anyway, natamani sana hii deal itiki. Tukimpata Cancelo na Silva tutakua kamili kumkabili yeyote na popote bila kujali chochote!
Mkuu, dau la 50M ilikua ni release clause ambayo imesha-expire tangia juzi. Kwahiyo sasa hivi zinafanyika negotiations kati ya Barca na PSG, sio habari ya release clause tena!Shida iliyopo ni pesa mkuu,inavyosemekana katika Dili la Dembele Barca watapata €25M tu kama akiuzwa kwa release clause yake ya €50M ,pesa ambayo hatuwezi kumpata Bernado!,labda tungefanya sale ya €70M+ huko na City hawawezi kumuuza kwa bei ya kawaida.Ndio maana kwa sasa priority ni kumpata RB Cancelo/Fresneda kwa pesa itakayopatikana kwa Dembele
Kuna mahali nilisoma kwamba kulikiwa na kipengele cha private clause sijui na kwamba PSG watalipa ile ile €50M hata kama ime expire.But anyway kama negotiations zikifanyika tukipata angalau €50M sio mbaya ila sidhani kama PSG wananaeza fika mpaka €70M+ huko.Mkuu, dau la 50M ilikua ni release clause ambayo imesha-expire tangia juzi. Kwahiyo sasa hivi zinafanyika negotiations kati ya Barca na PSG, sio habari ya release clause tena!
Barca wanataka €100M. PSG bado wanajishauri. Na katika hii 100M, kama wakiilipa, basi Barca wanachukua full ammount. Ndio maana mimi hata sijasikitika kihivyo Dembele kuondoka.
Si umeona mkuu sisi tunapata € 25M tu hapa!.Mkuu, dau la 50M ilikua ni release clause ambayo imesha-expire tangia juzi. Kwahiyo sasa hivi zinafanyika negotiations kati ya Barca na PSG, sio habari ya release clause tena!
Barca wanataka €100M. PSG bado wanajishauri. Na katika hii 100M, kama wakiilipa, basi Barca wanachukua full ammount. Ndio maana mimi hata sijasikitika kihivyo Dembele kuondoka.
Huyu Dembele hamna kitu kabisa Jana alikuwa anaboronga mpaka anatia aibuSi umeona mkuu sisi tunapata € 25M tu hapa!.View attachment 2707345
Tupo tunaendelea kugawa vipigo kwa wapinzani wetu.Mmepoa umu ndani
Noma aloooh...Tupo tunaendelea kugawa vipigo kwa wapinzani wetu.
Leo celta walitaka kutuaibisha ila chuma mbili za Lewa na moja kutoka kwa Cancelo zilitosha kutupa point 3 kibindoni.
Vamos Barca.
Game ilichangamka sana.Noma aloooh...