SMART GHOST
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 2,657
- 10,411
Kounde hapana, anakuaga na hasira za kipuuzi ambazo strikers wenye akili wanatumia kumvuruga. Dogo anakula red cards every now and then. Koulibaly is the right man for the job, akisimama na Araujo itakua combo ya hatari sana.I think we have to strengthen backline,Centre back ataeweza ku pair na Araujo( i prefer koulibaly au kounde) na full back ya kushoto & probably kulia kwa sababu Dest anaweza uzwa.In Frontline Just killer striker pale mbele , Probably lewandowski japo dili linasuasua na winger ataeweza ku create chances na kufunga, kwa sababu dembele anaeza ondoka ila hata ikibaki fine!
Kuhusu winger, naona Raphinha wa Leeds anawindwa kimyakimya, dogo anajua na atatufaa kama tukimpata.
Kuhusu striker, siungi mkono usajili wa Lewandoski. We need to focus on a long run. Aletwe kijana mdogo atakaeweza kuendana na project ya Xavi. Sio mtu wa kucheza misimu miwi. Alafu kumuachia Suarez ukamleta Lewandoski pia sioni kama inakua na mantiki.
Pale anahitajika forward mdogo kama yule mtoto Karim Adeyemi, au wengine wa rika lake. Akisaidiana na Aubameyang, atadevelop taratibu as time goes.
By the way, tukiwa na wings za moto, midfield ikatulia, na most importantly, defense ikawa solid enough kwa kumpata mtu wa kupair na Araujo, basi kule mbele hata tukimuweka Joti bado atatupia mpaka wakome.