Yani washabiki wa Barcelona wanavyolalamika utadhani hawajui asili yao ya kuwa Mediocre.
Yani ule upepo was miaka 8 uliowapitia kuanzia 2006 mpaka na 2014 ndiyo wanajiona Timu kuuubwaaaa.
Niwakumbushe tu kuwa hakuna kilichoharibika hapo wala hakuna cha ajabu just mumerudi tu kwenye default yenu ya kabla 2006.