Reporter: "Kwa nini umeamua kuchukua jezi namba 21 wakati namba 7 haina mtu kikosini ?"
Zlatan: "Nimetaka kumuonesha mtu flani kuwa mimi ni mara 3 bora kuliko yeye."
7+7+7=21
Sent using Jamii Forums mobile app
ila VAR!!! upuuzi kama upuuzi mwingine.. we out classed the opponents still tumechapika kudadeki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka mvuliwe chup na majogoo Wa anfield hii timu imekuwa n kijiwe cha kujichapia hamna timu pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale hakuna timu tenaSikuipa nafasi timu.. lkn nilipocheki game nikaona tunastahili kushinda sababu walicheza vizuri sana.. nafasi nyingi sana.. wakaboronga dk za mwiiisho ..poor mentality
Sent using Jamii Forums mobile app