Ah bro yule msengeeee katukosesha kupenya mechi na As Roma kasababisha magoli 2 simpendi hadi leo yule fala.
Alimfanya messi akabe mechi flan hv.
Habari njema..
Coutinho amesha chukuliwa na Bayern kwa loan...
Pique kazeeka jamani,wanakoswa goal hapa .Hiki kiteam kipo moto.Barça naona majina siyo kitu.
Uchawi upo,Suarez kakosa bao la wazi kabisa,ule mwamba jamani umeikosesha Barça goal.Haka kateam kanatusumbuaga but lazma kapigwe tu hakuna namna
Rafinha aitumie fursa vzr ili aendelee kuaminiwa na kubaki BarçaUchawi upo,Suarez kakosa bao la wazi kabisa,ule mwamba jamani umeikosesha Barça goal.
Barça hawajaonyesha makali yao.Nadhani wanamuhitaji Neymar.Hope atakuja kuongeza mashambulizi.Luis ndo huyo kaumia sijui atarudi lini uwanjani.Rafinha aitumie fursa vzr ili aendelee kuaminiwa na kubaki Barça
Barça hawajaonyesha makali yao.Nadhani wanamuhitaji Neymar.Hope atakuja kuongeza mashambulizi.Luis ndo huyo kaumia sijui atarudi lini uwanjani.
Bado mapema kumjaji anaweza kufikisha ama asifikisheHuyu Griezman kweli atafikisha goal 20? Dembele naye mbona he is not living up to the hype-hawa jamaa wakibahatisha goal we are doomed
Naanza kuwa na wasiwasi na kocha mpaka sasa mpira wake haueleweki ni kama amekuwa mtu wa kubahatisha
Anakuja hv karibuni kwa mkopo barca
Ijumatatu upo na Wolverhampton kelele zote zitaisha.Barça hawajaonyesha makali yao.Nadhani wanamuhitaji Neymar.Hope atakuja kuongeza mashambulizi.Luis ndo huyo kaumia sijui atarudi lini uwanjani.
Nina imani na Man united ,hao Wolves tutawauwa huko huko kwao.Ijumatatu upo na Wolverhampton kelele zote zitaisha.
Hawaeleweki,wana wachezaji wazuri ila hata hawaelewani vizuri kimchezo uwanjani.Naanza kuwa na wasiwasi na kocha mpaka sasa mpira wake haueleweki ni kama amekuwa mtu wa kubahatisha