Dejong na delight wakija itakuwa ni tatizo kubwa mnoHivi nikiangalia usajili tunao fanya na vijana wetu waliopo... Naona tukienda kuwa dominant force miaka kadhaa ijayo sio siri...
Jana umepigwa mwingi sana
#WeColorFootball
Nahisi anakuja kuchukua namba ya rackitic moja Kwa mojaBusi atakuwa na sub yake.. Tutakua invincible
Abaki baki tu maana mchango wake bado tunauhitajiJuve wanamtaka, lkn jamaa anasema anataka kuendelea
Mkuu Hakuna kipindi nnakua na hofu nacho Kama Dak 10 za Kwanza tunakuwaga na wenge aseeUkitaka kumfunga Barcelona, tumia vizuri dakika kumi za mwanzo. Huwa tunakua na wenge flani hivi.
Ila baada ya dakika 15, basi pambana wewe usifungwe nyingi.
It was exhibitional football. The performance was fantastic, Messi was cocastic, and coutinho was mirindastic!
Huyu Frankie De jong kabla hajachezea Barca hata mechi moja, tayari kafanya kazi nzuri sana mjini Madrid na Turin.
Lile goli la Coutinho linaweza kabisa kutatua mgogoro wa Spika na CAG!
- KANA -
Kongole wana Barca!! Messi always bring the best out of everyone, a complete player
View attachment 1073894
Coutinho ameupiga Sana Jana alikuwa anayafanya anavyotakaSiamini kama yule ndo coutinho! Naona alikuwa anacheza pembeni!..
Kweli mkuu na yule jamaa Arthur Melo 🔥
Kongole wana Barca!! Messi always bring the best out of everyone, a complete player
View attachment 1073894
Kuna kipindi walikuwa wanampamba lingard hadi kero yaniIle timu basi tu
Wachezaji wengi uwezo mdogo ila kupambwa na media tu