Ww Acha ujinga kuna mkeka uku nmetoa under ya goal moja naombea watoe ata draw ya nyau nyauBarcelona 3-1 Atletico
Źinatosha
Hii game ni important kitekinekali ,tunatengeneza gap la point 11 Leo na Atletico Madrid ili itusaidie ku focus zaidi nusu to final UEFA
They ain't that lucky.
Ila kwa kuangalia position yetu Laliga, na game zetu za UCL, sioni sababu ya kurisk our hitmen kwaajili ya hii game ya Atletico.
Nadhani mnawajua hawa jamaa wanavyokua aggressive wakicheza na Barca.
Sio muda wa kukubali unnecessary injuries!
Malcom, K. Boateng ndio ilikua game yao hii kama ningekua kocha!
- KANA -
We are highly motivated with today's gameWw Acha ujinga kuna mkeka uku nmetoa under ya goal moja naombea watoe ata draw ya nyau nyau
hii ndio mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote inaenda kututokea, sijafurahishwa na kupangwa kikosi full