GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,705
- 18,089
Kwhy mlivyoona man kafungwa mkaamua nanyie mfungwe.Jamani hawa ndio wapinzani wetu keshokutwa
Messi anabidi apige kazi tumfukuzishe ole waoView attachment 1061487
Sent by anonymous user
Nani kakudanganya mkuu?Kwhy mlivyoona man kafungwa mkaamua nanyie mfungwe.
Sent using simu mbovu
Njoo uoneNgapi huko
kama ulipokea usisite kutoa tena
Njoo ulie
[emoji122]Nani kakudanganya mkuu?
Mwenyewe nilishakata tamaa mkuu ila waliosema mpira dk 90 hawakukosea. It's an awesome results[emoji122]
Nivyoona dk ya 89 bado 4-2,
Nikajua hapa tayari.
But Messi ana work beyond imagination.
Sent using simu mbovu
Vijana wasituangusheee...
We have messi
We have Valverde
.
.
.
Tunapindua
Last time tuliwapiga 5-1
Sent by anonymous user
Kwhy mlivyoona man kafungwa mkaamua nanyie mfungwe.
Sent using simu mbovu
Neno la leo
Don't mess with Barcelona
Mkuu wala usijute game kukupita ilikua hovyo sana sema imebebwa na jinsi matokeo yake yalivyoBahati yao Messi ameingia dkk ya 61...otherwise wangekula 6 mammae....ingawa mechi imenipita dah...
Ndugu zangu mwenye goli la Mess atupie hapa...