BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Nimekaa muda wote nasikiliza kipindi cha michezo nisikie wachambuzi watazungumziaje lile tamasha alilofanya Messi jana usiku lakini nimejikuta napata hasira baada ya mchambuzi kuitia kapuni hiyo habari kwa sababu dhaifu aliyotoa, eti Messi na Ronaldo wamejiweka katika ulimwengu wa kipekee hivyo Messi kufanya makubwa jana ni swala la kawaida hivyo wakaruka hiyo taarifa na kuendelea na taarifa nyingine
Kweli mkuu.....Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe
Na iwe ni dhambi kubwa sana kumfananisha na mchezaji yoyote Yule Kwa kuwa hakuna hata anaemkaribiaNinadhani kuna haja FIFA na UEFA wakaandaa tuzo maalumu kwa ajili ya Messi
Kumshukuru kwa kucheza mpira DUNIANI
Tuzo ya heshima ya mchezaji bora wa muda wote (GOAT)
Iundwe tume ya kusimamia heshima ya Messi ikitokea kafananishwa na binadamu yoyote ichukuliwe sheria kali
Madactor wachukue mbegu za Messi wazifanyie upandikizaji kwa wanawake ili akina Messi wengne wazaliwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Na iwe ni dhambi kubwa sana kumfananisha na mchezaji yoyote Yule Kwa kuwa hakuna hata anaemkaribia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninadhani kuna haja FIFA na UEFA wakaandaa tuzo maalumu kwa ajili ya Messi
Kumshukuru kwa kucheza mpira DUNIANI
Tuzo ya heshima ya mchezaji bora wa muda wote (GOAT)
Iundwe tume ya kusimamia heshima ya Messi ikitokea kafananishwa na binadamu yoyote ichukuliwe sheria kali
Madactor wachukue mbegu za Messi wazifanyie upandikizaji kwa wanawake ili akina Messi wengne wazaliwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu.....
Ila kama sifa zake zipo na hawatazungumzia atatulia manaa mwanaume hashindani na sidiria
Kabsa na wasimshindanishe na wachezaji wengne yeye apewe Tuzo yake tu ifahamike kila mwaka kuna tuzo ya shukuraniNa iwe ni dhambi kubwa sana kumfananisha na mchezaji yoyote Yule Kwa kuwa hakuna hata anaemkaribia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia hata page ya shaffi dauda, utakuta ronaldo anampamba sana kuliko mwenye mpira wake King Messi...ingia page yake uone ameweka record zake baada ya ile hatrick....mchambuzi hatakiwi kuwa bias
Wakuu wekeni mikeka basi au weekend imeondoka na mitaji yote,leo nina mtaji kama laki tatu hivii wakuu wekeni odd hata 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu weken mikeka basi, au wekend imeondoka na mitaji yote, leo nina mtaji kama laki mbili hivi naomben odd za kibabe 2 tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Barca hawezi kumtaka Griezmann-he led Barca on and at the last moment he dissed Barca.next summer
1. jovic
2. de ligh
3. Griezmann
mambo ni motooo
Hii no khabari mbaa sana kwa manure na Ole..Kinachoenďelea ni kwamba Messī kapiga hat trick ya 51 jana
Wachambuzi wa mpira bongo wengi ni uchwara halafu hawaezi hata kuficha ushabiki wao. Kama uyo shafii ndo takataka kabisa akuna kitu pale..
Ingia hata page ya shaffi dauda, utakuta ronaldo anampamba sana kuliko mwenye mpira wake King Messi...ingia page yake uone ameweka record zake baada ya ile hatrick....mchambuzi hatakiwi kuwa bias
Ingepaswa FIFA wajenge sanamu lake kabisa nje ya ofisi zao ..Ninadhani kuna haja FIFA na UEFA wakaandaa tuzo maalumu kwa ajili ya Messi