FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

sema dogo Arthur akikutana na kaka zake wakina luka maduara na ndugu yake toni anawafanya wanakuwa wanyonge pale sebuleni anakuwa boss wao

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Weka statistics hapa sio porojo.. Mlikamatika haswa mpaka mkaomba refa amalize mpira mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII match ya leo-mbona kuna kutishana sana-mpaka tunaogopa kuangalia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…