FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


Hili la cot hata mimi nilishalisema, lakini nikaonekana mjinga.
 
Kwangu leo Man of the match ni Gerald Pique. Leo kaonyesha maturity kwa clearance za kibabe sana.

Kama humuelewi Nelson Semedo basi upimwe mkojo. He bossed the whole right wing, alikosa tu mtu wa kumalizia pasi zake.

Suarez was extremely poor today, Coutinho was average as always.

Next match tukiwa na Messi, Dembele na Roberto, jamaa wanachezea koki.

- KANA -
 
mii nauliza kuna mkataba gani kati ya barca na huyu suarez maana naona leo kapoteza tu mipira kijinga kabisa halafu eti kocha anamtoa coutinho anamuacha suarez hadi full time barca akifanya mchezo pale santiago bernabeu watatoka na kilio
 

Umenena haswaa, pique na semedo wamejituma sana,
 
mii nauliza kuna mkataba gani kati ya barca na huyu suarez maana naona leo kapoteza tu mipira kijinga kabisa halafu eti kocha anamtoa coutinho anamuacha suarez hadi full time barca akifanya mchezo pale santiago bernabeu watatoka na kilio

Huyu kocha ndo kimeo, subiri sasa kule Bernabeu kama hajaweka full mziki


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Magazeti ya Spain yanadai Madrid watijutia hii mechi-na inabidi wawe a team of both halves sio baada ya half mmoja wanachoka.Barcelona were slow out of the blocks but baadaye they had the game under control.Opportunity hii ambaya Coutinho na Suarez walikuwa very average haiwezi tokea tena ktk return leg-Gazetti linadai R Madrid wajihesabu kwamba washatolewa
 
Kabisa little magician akitokea kati anakuwa wa moto sana

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Hana kitu Coutinho tulikuwa desperate tunahitaji mtu wa kuremplace neymar ndio maana tukauingia mkenge. Coutinho yuko very predictable, ikitokea anakata kona kuingia kulia kila mtu anajua anataka kupiga shuti. Pasi anapiga hazifiki, ananyang'anywa mpira kizembe.
Sasa kimeibuka kisingizio eti hadi acheze kama attacking midfielder ndio anaweza kurudi kwenye peak yake!? Nani amuweke pale midfield wakati kuna wavulana wanauwasha moto zaidi yake.
Aache visingizio awe versatile player kama wenzie, Messi akiwekwa midfield anacheza, akiweka striker utapenda, akiwekwa winga Ndio siku hiyo beki zote zinatoka na vumbi hadi kwenye kope. Dembele pia anaproves ni versatile player kwa kufit kwenye kila position ya mbele. Kwanini Coutinho alete visingizio?
Coutinho asitegemee kucheza attacking midfield pekee, sababu watu waliopo pale kati ni world class Na wanaproves hilo. Arthur, Sergio, De ligit, Puig, Arturo, rakitic, Sergi Roberto, e.t.c

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jipeni matumaini na mlivyodesperate ya kununua wazee tunawasubiri kwa hamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…