FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nani kaleta chuki?? Kila kitu kinaonyesha Messi yupo juu. Wakati gaucho hata 10 bora hayumo, Na Diego maradona unamzungumziaje?? Maana alikuwa anauchezea mpira zaidi ya gaucho.

  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele
  4. Alfredo de stefano
  5. Puskas
  6. Cruyff
  7. Zidane
  8. N.k
Kama statistics zingekuwa ndiyo ubora basi leo tusingekuwa tunasema cab na Inesta ni bora ktk ulimwengu wa soka
 

Dah.bado sijaona wa kumfananisha nae. Tutammis sana commandoo JAVIER
 
Ni hivyo tu!! Aise atasubiri sana. Nashkuru kiongozi atleast wewe umeleta statistics wengine wameona hata aibu kuiweka wazi.
Ukimuuliza Messi mwenyewe atakwambia master wake ni nani na huyu ndiyo alimwiintroduce Messi kwa Richkard wakati akiwa haelewani nae vyema kama sikosei alikuwa anakila mtoto wa kocha wake by then
 
MKITAKA WEBSITE YA KUBET INAYO TOA MIKEKA NA NI WEBSITE YA NJE NINA MAANA YA WALE WAZUNGU NGULI WA KUCHAMBUA NA KU RISK MIKEKA NA INATOA ASILIMI 98% NI WEWE MWENYEWE UKITAKA ODD ZOZOTE NI UN CHANGUA TU BONYEZA HAPA>>>>>> WINTIPS100.COM
 
Nani kaleta chuki?? Kila kitu kinaonyesha Messi yupo juu. Wakati gaucho hata 10 bora hayumo, Na Diego maradona unamzungumziaje?? Maana alikuwa anauchezea mpira zaidi ya gaucho.

  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele
  4. Alfredo de stefano
  5. Puskas
  6. Cruyff
  7. Zidane
  8. N.k




wewe hujui mpira unaonekana umeanza kujua mpira juzi
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…