FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi is:-

Unique
Priceless
Mesmerizing
Incredible
Brilliant
Memorable
Sensational
Fascinating
Humble
Magnificent
Perfect
Spectactular
Genius
Exceptional
Phenomenal
Wonderful
Loyal
Unforgettable
Lushvishious
Magical
Deadly
Inhuman
Enormous
Superb
Hero
Inspirational
Passionate
Consistent
 
Watangazaji wa Azam vilaza sana wamesifia ile pasi ya busquets mpaka wameharibu eti wakasema ni kijana aliyeletwa kuzipa pendo la xavi dah! Ina maana hawajui kuwa jamaa ni legend?
Hao watangazaji ni kama padri mcharo
Watangazaj wa Azam mm huwa nawaelewa sana hasa ikifika game za barca hua wanasifu mpaka sifa zinamwagikia
 
Wapenzi na washabiki wa FC Barcelona,
nimefungua leo ukurasa kwenye instagram
unaofahamika kama fcbarcatz kwa ajili ya
kupeana taarifa mbalimbali kuhusu timu yetu pendwa.
Sio vibaya tukifollow huko pia.
 
Perfect analysis...
 
Messi ni balaa jamani kama kawaida yake mzee wa kukusanya kijiji. Alafu wanakuja watu wamcompare na Gaucho mara oh cr7 😛😛😛 king hafananishwi na mchezaji yeyote hapa ulimwenguni.


Salute kwako Mfalme!
Aisee kawanya nyasa mabeki wa Betis mpaka mafans wao wakamshangilia kama siyo kumshangaa. Mpira unampenda sana Messi10 kuliko yeye anavyoupenda...!!!
 
Namalizia "the Alien"...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…