FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kipindi cha pili wanakaa hawa paka naona wamekua ving'ang'anizi wana defend deep
Tunahitaji kuvunja kati kati yao
Tupenye kati Andres Gomez apumzike tu Paulinho anatakiwa match kama hii ni holding midfielder zakutosha zinamaliza match
 
Afadhar tunaongoza mana hii game bhn naona ilikua inataka kiharibu usiku wangu.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…