Huu ni uamuzi mzuri wa serikali lazima tutumie marafi kuongeza nguvu kwa suala hili,maana leo wataua viongozi wadini kesho viongozi wa serikali.
Watasema tena hawa magaidi wamejificha kwenye machimbo ya madini na gesiMwisho wa siku watatuambia hao ni magaidi na watapendekeza walete majeshi yao ili kuwasaka ili wachukue gesi yetu na mafuta
akili kumukichwa!!!!!!!!!
Wapo waimba rege tu huko ,kwisha habari yake chini ya ROTumeshindwa yote wapi TZ ya usalama wa taifa madhubuti?
Wavaa kanzu sasa hivi yanagonga yanarudi
FBI anakuja kufanya nini hapa? mbona zilipozama MV Skarget na MV Spice kule Zanzibar ikauwa maelfu ya watu hawakuja kuchunguza mauwaji na hata bunge la Tanzania lilinyimwa fursa ya kujadili yale mauwaji au serikali ndio inaonyesha dhahiri nnadhir kuliunga mkono Kanisa??
TATIZO HUWA HAMSHIRIKISHI UBONGO KABLA YA KUONGEA!!! Hivi hawakuja waokoaji kutoka SOUTH AFRIKA NA MISRI?
FBI WAACHENI WAFANYE KAZI YAO WASIWASI WA NINI! Kama umo utakamatwa tu. Na mzizi wa fitna utoke