Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,218
GAZETI.unauliza mbwa ana makalio huku umeshika mkia wake.
MAOFISA wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamekubali kufanya upelelezi wa mauaji ya Padri Evaristus Mushi yaliyotokea Zanzibar Februari 17, mwaka huu.
Kwa mujibu wa habari za kuaminika zilizopatikana jana maofisa hao wako nchini na tayari wamekutana na baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ajili ya kuanza kazi hiyo.
Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa maofisa hao walikutana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi kwa ajili ya kuangalia ni namna gani watafanya shughuli zao katika upelelezi huo.
Kutua kwa maofisa hao kumekuja baada ya kauli iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete katika salamu zake za rambirambi baada ya mauaji ya Padri Mushi kuwa ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia nguvu zake zote pamoja na kushirikiana na vyombo vingine vya usalama vya hapa nchini na mashirika ya upelelezi ya nchi rafiki katika kufanya uchunguzi wa mauaji hayo.
Pamoja na ushiriki wa FBI, pia Serikali inazungumza na nchi nyingine rafiki ili kushirikiana nao katika upelelezi ya matukio mengine ya mauaji ya hivi karibuni.
Taarifa zinaeleza kuwa maofisa wa Serikali wamezungumza na taasisi za upelelezi za nchi tano ili kuongeza nguvu katika kazi hiyo.
Taasisi nyingine inayotajwa kwamba huenda ikashiriki katika uchunguzi huo ni Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai ya Uingereza ya Scotland Yard.
Hatua hizi zinakuja baada ya Dk Nchimbi kutoa tamko la Serikali, Jumapili iliyopita, akidai kuwa mauaji ya Padri Mushi yalikuwa ya kigaidi hivyo Serikali itachukua hatua kali kuhakikisha waliohusika wanakamatwa.
Haitakuwa mara ya kwanza kwa Serikali ya Tanzania kushirikiana na asasi za kimataifa katika ku chunguza matukio ya uhalifu na yale ya kigaidi.
Hii itakuwa mara ya pili kwa FBI kuja nchini kufanya operesheni kubwa ya upelelezi. Mwaka 1998, walifika kuchunguza kulipuliwa kwa Ubalozi wa Marekani na kugundua ilikuwa kazi ya Kundi la Al-Qaeda.
Pia mwaka 1984 walikuja wapelelezi kutoka Scotland Yard kuchunguza kuungua kwa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima alithibitisha Serikali kuanza mazungumzo na mashirika mbalimbali ya upelelezi duniani kwa ajili ya kushirikiana nayo kuchunguza mauaji ya Padri Mushi.
Alisema tayari wameanza kufanya mazungumzo na mashirika hayo kutoka nchi mbalimbali, lakini alisema ni mapema mno kuyataja... Ila tukikamilisha kila kitu tutawaiteni na kuwaeleza hatua tuliyofikia, ila tumeanza kufanya mazungumzo nayo. Kama unavyojua Rais Kikwete alitoa agizo hilo, sisi tumeanza kulitekeleza.
Waziri Silima alisema kwanza wataanza kuchunguza mauaji ya Padri Mushi... Tutaanza kuchunguza kwanza chanzo cha mauaji haya ili tujue kila kitu.
Watuhumiwa wakamatwa
Polisi Zanzibar inawashikilia watu kadhaa wakihusishwa na mauaji ya Padri Mushi.
Tumekamata watu kadhaa kuhusiana na kifo cha Padri na tunaendelea kuwahoji na wengine tutawaachia, alisema Kamishna wa Polisi wa Zanzibar, Mussa Ali Mussa jana.
Source: Mwananchi
Sina uhakika sana na taarifa hizi za kutua watu wa FBI hapa nchini,
Kama ni kweli nataka kufahamu iwapo hili ni kweli je, hii ina maana
kuwa TISS wameshindwa kazi?
Kama ni kweli kuna haja gani ya kuwa na idara hii nyeti hapa nchini
au tuamini kuwa ipo kwa ajili ya maslahi ya wanasiasa na siasa?
Je, ni jambo lipi kubwa ambalo CID, TISS na vyombo vingine vya usalama
wamelishindwa kiasi cha kuwaleta hawa jamaa hapa nchini?
Mwisho nawaomba MODS wasiiondoe hii Topic maana humu ndani ukiwagusa TISS
haraka sana mada inaondolewa utafikiri wana sehemu ya Uuungu hawa jamaa.
MTAZAMO WANGU.
kuwaalika FBI kwa jambo dogo kama hili ni kujidhalilisha kwani vyombo vyetu
vya usalama vina uwezo nzuri tu wa kutatua jambo hili, mangapi makubwa
wameyafanya ambayo ni zaidi ya hili?
Pia napenda ifahamike kuwa hao FBI hawawezi kufanya kazi yoyote
kama hawatapata msaada wa vyombo vya usalama kutoka hapa nchini,
Tuviamini na tuviwezeshe vyombo vyetu vya Usalama.
Nusu uchi.
Uchi maana yake nini? Utupu wa mwili si dhalili kama ulivyo utupu wa mawazo. Bora utembee kama mnyama kuliko kuishi kama mnyama kwa kuwa na ubongo wa hayawani.
Ikifikia unazaa mtoto kila mwaka unakosa tofauti na panya mnyuni au kibobori. Kama mnaona visiwani kunajaa watu wabara wakija huko, basi mjifunze uzazi wa mpango, manake kariakoo imejaa Wapemba nao ni wajuzi wa kuzaa, sasa jiulize, ikiwa kila mtu arudi kwao, mtatosha?
Maalim Seif ajipange kivipi? Nyinyi mukishashiba Kiti moto na Bia hua munaropokwa tuu! Wacha FBI na CIA waje hii game haina droo ushindi lazima na nakupa AHADI hapa mjengoni utapakimbia au utakua unaingia kwa user name nyengine! Maalim huwezi kumlinganisha na wanasiasa uchwara waliopo ndani za Tanzania hii na hata Afrika kwa ujumla.
Maskani wamekwisha......kama kweli fbi watafanya kazi kwa haki.....wamefichuka.....kina borafia...na kisonge group ...hawa si ndo walio chana piza za amani karume? kweli wameumbuka...wao na wafadhili wao .....ni vijana wa janja weed pekee ndio wenye mafunzo ya kuua..na wapo chini ya maskaniMAOFISA wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamekubali kufanya upelelezi wa mauaji ya Padri Evaristus Mushi yaliyotokea Zanzibar Februari 17, mwaka huu.
Kwa mujibu wa habari za kuaminika zilizopatikana jana maofisa hao wako nchini na tayari wamekutana na baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ajili ya kuanza kazi hiyo.
Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa maofisa hao walikutana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi kwa ajili ya kuangalia ni namna gani watafanya shughuli zao katika upelelezi huo.
Kutua kwa maofisa hao kumekuja baada ya kauli iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete katika salamu zake za rambirambi baada ya mauaji ya Padri Mushi kuwa ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia nguvu zake zote pamoja na kushirikiana na vyombo vingine vya usalama vya hapa nchini na mashirika ya upelelezi ya nchi rafiki katika kufanya uchunguzi wa mauaji hayo.
Pamoja na ushiriki wa FBI, pia Serikali inazungumza na nchi nyingine rafiki ili kushirikiana nao katika upelelezi ya matukio mengine ya mauaji ya hivi karibuni.
Taarifa zinaeleza kuwa maofisa wa Serikali wamezungumza na taasisi za upelelezi za nchi tano ili kuongeza nguvu katika kazi hiyo.
Taasisi nyingine inayotajwa kwamba huenda ikashiriki katika uchunguzi huo ni Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai ya Uingereza ya Scotland Yard.
Hatua hizi zinakuja baada ya Dk Nchimbi kutoa tamko la Serikali, Jumapili iliyopita, akidai kuwa mauaji ya Padri Mushi yalikuwa ya kigaidi hivyo Serikali itachukua hatua kali kuhakikisha waliohusika wanakamatwa.
Haitakuwa mara ya kwanza kwa Serikali ya Tanzania kushirikiana na asasi za kimataifa katika ku chunguza matukio ya uhalifu na yale ya kigaidi.
Hii itakuwa mara ya pili kwa FBI kuja nchini kufanya operesheni kubwa ya upelelezi. Mwaka 1998, walifika kuchunguza kulipuliwa kwa Ubalozi wa Marekani na kugundua ilikuwa kazi ya Kundi la Al-Qaeda.
Pia mwaka 1984 walikuja wapelelezi kutoka Scotland Yard kuchunguza kuungua kwa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima alithibitisha Serikali kuanza mazungumzo na mashirika mbalimbali ya upelelezi duniani kwa ajili ya kushirikiana nayo kuchunguza mauaji ya Padri Mushi.
Alisema tayari wameanza kufanya mazungumzo na mashirika hayo kutoka nchi mbalimbali, lakini alisema ni mapema mno kuyataja... Ilatukikamilisha kila kitu tutawaiteni na kuwaeleza hatua tuliyofikia, ila tumeanza kufanya mazungumzo nayo. Kama unavyojua Rais Kikwete alitoa agizo hilo, sisi tumeanza kulitekeleza.
Waziri Silima alisema kwanza wataanza kuchunguza mauaji ya Padri Mushi... Tutaanza kuchunguza kwanza chanzo cha mauaji haya ili tujue kila kitu.
Watuhumiwa wakamatwa
Polisi Zanzibar inawashikilia watu kadhaa wakihusishwa na mauaji ya Padri Mushi.
Tumekamata watu kadhaa kuhusiana na kifo cha Padri na tunaendelea kuwahoji na wengine tutawaachia, alisema Kamishna wa Polisi wa Zanzibar, Mussa Ali Mussa jana.
Source: Mwananchi
Na mauaji ya mkapa je 2001 kwa waislam wa z'br mbona hatukuona fbi?
Usalama wataifa wameshindwa hata kumkamata Ilunga!!!?? Nchi hii IMEOZA kila idara...
TISS wamebaki kututishia amani huku mtaani; utawasikia unajua mie nan? Na ukzubaa katoa bastola
Uamsho na Ilunga!!!!????
SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na Mapadre - YouTube
Hapa hapana kitu ulichoweka
Kabla ya kuandika michango sehemu kama hizi unatakiwa ujifundishe mwanzo halafu umpe mtu akutoe makosa ndipo uanze kuja na michango sehemu kama hizi!
Source Please?Jana FBI waliwasili jana na police walidhibitisha ujio wao ila walikanusha ujio wao sio kwamba pilisi wa Tanzania wameshindwa kazi.
Wamedai kwamba ni kawaida yao kufanya kazi kwa mambo ya msingi ilisisitza pia waliwatumia wakati wa mashambulizi ya kigaidi katika barozi za Marekani hapa Dsm na Nairobi.
Weka picha...