FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

FBI ndani ya Tanzania, kazi ipo

Wana bodi,

Kulingana na taarifa ilosomwa BBC Swahili jioni hii na kudhibitishwa na msemaji wa jeshi la polisi makao makuu Bi. Senzo,
ni kwamba FBI wamefika rasmi kuongeza nguvu na weledi kufuatia picha nzima ya mauaji ya Fr. Mushi.
Maalim Seif ajipange.

Maalim Seif ajipange kivipi? Nyinyi mukishashiba Kiti moto na Bia hua munaropokwa tuu! Wacha FBI na CIA waje hii game haina droo ushindi lazima na nakupa AHADI hapa mjengoni utapakimbia au utakua unaingia kwa user name nyengine! Maalim huwezi kumlinganisha na wanasiasa uchwara waliopo ndani za Tanzania hii na hata Afrika kwa ujumla.
 
Uwezo Tunao
Hilo la baadh ya kuongoza ibada lilishajitokeza kwenye chuo kimoja hapa Tanzania,na kundi aliloliongoza lilimwamini kama mwenzao.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmh haya bhana.... Mi nataka UAMSHO IFUTWE! MAANA NDO KIINI CHA MATATIZO!

Kwa yeyote mpenda amani lazima awe na wazo hili
 
kwa taarifa ni kuwa baada ya hayo matukio ya mauwaji na kuchoma makanisa yanavyozidi kutokea, wakristo wamekuwa wakiishi kwa uwoga mkubwa, wengine wanaogopa hata kutaja majina yao ya kikristo na wengine hasa wakina dada kujikuta wakisilimu kabisa ili kuwa kwenye safe side.leo katika mitaa ya stonetown kwenye mgahawa mto mmoja hakujua kama mimi sio muislam anasema "tumewakosesha wakristo sasa hivi ukikutana na mkristo uanaanza kusalimia mwenyewe salam aleku kwa uwoga na ukimuuliza jina anataja la ukoo tu mfano mwampembe au masawe hawasubutu kusema naitwa joseph au emmanuel" SASA KAMA WENYEWE NIA YAO NI KUSILIMISHA WATU KWA NGUVU SERIKALI ISEME.wakristo wanaishi kwa uwoga wa hali ya juu huko znz wamama wanavaa mabaibui tena jua kali likiwa linawaka kwa uwoga.
bado wenyewe wanasema wabara waondoke znz warudi kwao tz-bara ili wenyewe wapate ajira kauli ambayo ilitolewa mpaka na mwakilishi ismail jusa. muislam huku znz ukibadilishana naye mawazo kwa nini mnatubagua wabara jibu lake ni kwanini msirudi kwenu bara muwaache wenye nchi na nchi yao"
 
Mkuu tpmazembe
nikuhakikishie jambo moja tu,
visiwani zaid ya JWTZ hamna vyombo vngne vya ulinzi.
hao polisi ni urojo mtupu kuanzia wakiwa mafunzon haijalish moshi au hukohuko zenji,na vikosi vingne vyote ni usiseme.
Wahalifu wanabembelezwa mfano hakuna.
 
Last edited by a moderator:
FBI ndio nani unafurahia uzembe unaofanywa na serekali yako kusema z'bar kuna ugaidi sio kuikomoa z'bar bali ni tz nzima FBI wa kazi gani huko ni kujidhalilisha.
 
Mkuu tpmazembe
nikuhakikishie jambo moja tu,
visiwani zaid ya JWTZ hamna vyombo vngne vya ulinzi.
hao polisi ni urojo mtupu kuanzia wakiwa mafunzon haijalish moshi au hukohuko zenji,na vikosi vingne vyote ni usiseme.
Wahalifu wanabembelezwa mfano hakuna.
halafu kuna ule ukaka na ushangazi, huyu si yule kijana wa bi asha au wa mzee kombo au huyu mznz na yule mbara kauli hizo zinasababisha hata mtu akiona tukio baya akijua limempata mbara hatoi taarifa yeyote wala halimuumi
 
kwa taarifa ni kuwa baada ya hayo matukio ya mauwaji na kuchoma makanisa yanavyozidi kutokea, wakristo wamekuwa wakiishi kwa uwoga mkubwa, wengine wanaogopa hata kutaja majina yao ya kikristo na wengine hasa wakina dada kujikuta wakisilimu kabisa ili kuwa kwenye safe side.leo katika mitaa ya stonetown kwenye mgahawa mto mmoja hakujua kama mimi sio muislam anasema "tumewakosesha wakristo sasa hivi ukikutana na mkristo uanaanza kusalimia mwenyewe salam aleku kwa uwoga na ukimuuliza jina anataja la ukoo tu mfano mwampembe au masawe hawasubutu kusema naitwa joseph au emmanuel" SASA KAMA WENYEWE NIA YAO NI KUSILIMISHA WATU KWA NGUVU SERIKALI ISEME.wakristo wanaishi kwa uwoga wa hali ya juu huko znz wamama wanavaa mabaibui tena jua kali likiwa linawaka kwa uwoga.
bado wenyewe wanasema wabara waondoke znz warudi kwao tz-bara ili wenyewe wapate ajira kauli ambayo ilitolewa mpaka na mwakilishi ismail jusa. muislam huku znz ukibadilishana naye mawazo kwa nini mnatubagua wabara jibu lake ni kwanini msirudi kwenu bara muwaache wenye nchi na nchi yao"

Wewe MFITINISHAJI tena MUONGO, ni mgahawa gani huo wa Stone Town na ni Wanawake gani hao unaowazungumzia ambao wameyafanya hayo? Mimi binafsi kutokana na shughuli zangu muda wote nipo maeneo ya Town na kwa macho yangu nawaona wakinamama wa Kibongo wanatembea kama 'Wanyama' (Nusu Uchi) na zaidi hayo yote uliyoyasema ni UONGO mtupu kwani mimi mwenyewe Mtaani ninapoishi jirani zangu ni Wakristo tena nyumba zetu zimegongana mapaa na tunaishi bila hata kua na bifu wala matatizo yeyote juu ya matukio ambayo yanatokezea zaidi hua tunapeana Mkono wa pole tu!
 
Maalim Seif ajipange kivipi? Nyinyi mukishashiba Kiti moto na Bia hua munaropokwa tuu! Wacha FBI na CIA waje hii game haina droo ushindi lazima na nakupa AHADI hapa mjengoni utapakimbia au utakua unaingia kwa user name nyengine! Maalim huwezi kumlinganisha na wanasiasa uchwara waliopo ndani za Tanzania hii na hata Afrika kwa ujumla.

Unaonekana unataka kuhamisha mlima kwa maneno eti!

We si utulie tu, povu la nini. Kikwete kaogopa kumkamata Maalim sasa amewarushia zigo Wamarekani. Sasa hivi mtasikia habari nene. We si bado mdogo, mlidhani Ikulu moja inaweza kukaliwa na watu wawili eeh!
 
kwa taarifa ni kuwa baada ya hayo matukio ya mauwaji na kuchoma makanisa yanavyozidi kutokea, wakristo wamekuwa wakiishi kwa uwoga mkubwa, wengine wanaogopa hata kutaja majina yao ya kikristo na wengine hasa wakina dada kujikuta wakisilimu kabisa ili kuwa kwenye safe side.leo katika mitaa ya stonetown kwenye mgahawa mto mmoja hakujua kama mimi sio muislam anasema "tumewakosesha wakristo sasa hivi ukikutana na mkristo uanaanza kusalimia mwenyewe salam aleku kwa uwoga na ukimuuliza jina anataja la ukoo tu mfano mwampembe au masawe hawasubutu kusema naitwa joseph au emmanuel" SASA KAMA WENYEWE NIA YAO NI KUSILIMISHA WATU KWA NGUVU SERIKALI ISEME.wakristo wanaishi kwa uwoga wa hali ya juu huko znz wamama wanavaa mabaibui tena jua kali likiwa linawaka kwa uwoga.
bado wenyewe wanasema wabara waondoke znz warudi kwao tz-bara ili wenyewe wapate ajira kauli ambayo ilitolewa mpaka na mwakilishi ismail jusa. muislam huku znz ukibadilishana naye mawazo kwa nini mnatubagua wabara jibu lake ni kwanini msirudi kwenu bara muwaache wenye nchi na nchi yao"
Duh hiyo noma! Inamaana hata wewe ulikuwa umevaa 'pedo' au baraghashia? Hata hukuthubutu kumwambia we pia mkristu?
 
Sina uhakika sana na taarifa hizi za kutua watu wa FBI hapa nchini,
Kama ni kweli nataka kufahamu iwapo hili ni kweli je, hii ina maana
kuwa TISS wameshindwa kazi?

Kama ni kweli kuna haja gani ya kuwa na idara hii nyeti hapa nchini
au tuamini kuwa ipo kwa ajili ya maslahi ya wanasiasa na siasa?

Je, ni jambo lipi kubwa ambalo CID, TISS na vyombo vingine vya usalama
wamelishindwa kiasi cha kuwaleta hawa jamaa hapa nchini?

Mwisho nawaomba MODS wasiiondoe hii Topic maana humu ndani ukiwagusa TISS
haraka sana mada inaondolewa utafikiri wana sehemu ya Uuungu hawa jamaa.

MTAZAMO WANGU.
kuwaalika FBI kwa jambo dogo kama hili ni kujidhalilisha kwani vyombo vyetu
vya usalama vina uwezo nzuri tu wa kutatua jambo hili, mangapi makubwa
wameyafanya ambayo ni zaidi ya hili?

Pia napenda ifahamike kuwa hao FBI hawawezi kufanya kazi yoyote
kama hawatapata msaada wa vyombo vya usalama kutoka hapa nchini,
Tuviamini na tuviwezeshe vyombo vyetu vya Usalama.
 
mpemba mbishi
Nikuhakikishie ktk wafanya siasa wachumia tumbo,
Maalim Sefu anaongoza.
Kumbuka kpind alpotishiwa kusitishwa kwa huduma kama Wazr kiongoz mstaaf alifyata na domo akafunga.
2010 Bwawan hotel pale ilikuaje?kwann awatishie wananch kukimbia nchi
 
Last edited by a moderator:
Wewe MFITINISHAJI tena MUONGO, ni mgahawa gani huo wa Stone Town na ni Wanawake gani hao unaowazungumzia ambao wameyafanya hayo? Mimi binafsi kutokana na shughuli zangu muda wote nipo maeneo ya Town na kwa macho yangu nawaona wakinamama wa Kibongo wanatembea kama 'Wanyama' (Nusu Uchi) na zaidi hayo yote uliyoyasema ni UONGO mtupu kwani mimi mwenyewe Mtaani ninapoishi jirani zangu ni Wakristo tena nyumba zetu zimegongana mapaa na tunaishi bila hata kua na bifu wala matatizo yeyote juu ya matukio ambayo yanatokezea zaidi hua tunapeana Mkono wa pole tu!

nilikuwa lukman, sijasema ni znz wote wanaokejeli wakristo maana hata mimi nafanya kazi na baadi ya waznz mara moja moja nikija huko znz, ila wako wanaofurahia mateso ya wakristo na kuyasema hadharani.
Wanavaa watakavyo znz ni wazungu watalii maana waznz wanawapenda wazungu mara 100 kuliko wa bara bila sababu za msingi.au kisa muungano, tumeona wamama wakiwa wanavaa mahijabu mpaka kanisani mpaka kwenye magazeti na imeonekana.hiyo ni kutokana na mazingira ya uwoga waliyojengewa na majirani zao huko znz.hatusemi watu wavae nusu uchi lakini kuna vazi la kawaida gauni hasa mchana lakini huwakuta mpaka mchana ni mabaibui na ushungi
 
Wewe MFITINISHAJI tena MUONGO, ni mgahawa gani huo wa Stone Town na ni Wanawake gani hao unaowazungumzia ambao wameyafanya hayo? Mimi binafsi kutokana na shughuli zangu muda wote nipo maeneo ya Town na kwa macho yangu nawaona wakinamama wa Kibongo wanatembea kama 'Wanyama' (Nusu Uchi) na zaidi hayo yote uliyoyasema ni UONGO mtupu kwani mimi mwenyewe Mtaani ninapoishi jirani zangu ni Wakristo tena nyumba zetu zimegongana mapaa na tunaishi bila hata kua na bifu wala matatizo yeyote juu ya matukio ambayo yanatokezea zaidi hua tunapeana Mkono wa pole tu!

Nusu uchi.

Uchi maana yake nini? Utupu wa mwili si dhalili kama ulivyo utupu wa mawazo. Bora utembee kama mnyama kuliko kuishi kama mnyama kwa kuwa na ubongo wa hayawani.

Ikifikia unazaa mtoto kila mwaka unakosa tofauti na panya mnyuni au kibobori. Kama mnaona visiwani kunajaa watu wabara wakija huko, basi mjifunze uzazi wa mpango, manake kariakoo imejaa Wapemba nao ni wajuzi wa kuzaa, sasa jiulize, ikiwa kila mtu arudi kwao, mtatosha?
 
Na mauaji ya mkapa je 2001 kwa waislam wa z'br mbona hatukuona fbi?

Mzee Mwinyi alileta Scotland yard kupeleleza mauaji ya Shauritanga mpaka leo tunasubiri hiyo ripoti. Na hatua kwa wahusika bila shaka zitachukuliwa kwa wajukuu wa wahalifu!! Huo ndio upelelezi wa mashirika ya kimataifa yanayoletwa Tanzania kupunguza hasira za wananchi. Au tuseme kwa ufupi wauaji wanafahamika, inayotafutwa ni watu watulizwe vipi.
 
Mtu mkubwa anahusika, wanaona noma kumtia mkononi wenyewe ndio sasa wanawabebesha mzigo Wanyamwezi wa Obama
 
Back
Top Bottom