Fatuma Karume muombe radhi Prof. Abdirazak Gurnar kwa niaba ya Mzee Karume

Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof.Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo,upendo huanzia nyumbani.Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana..toa tamko la kuomba radhi.
Ungemjua bila kupewa Nobel Prize?

Kent Alumni

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof.Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo,upendo huanzia nyumbani.Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana..toa tamko la kuomba radhi.
Labda Mwanaye Mzee angefaa zaidi siyo mjukuu
 
Waliomfukuza huyu mzee Zanzibar ni CCM_Zanzibar na siasa zao za ubaguzi wa rangi.Wanaopaswa kumuomba msamaha huyu mzee ni CCM na wala siyo Fatuma Karume.
_1bM.jpg
NxwG.jpg
 
Hata Sultan Jamshed aliyepinduliwa yupo raha mustarehe Uingereza kule kwenye asili yao Oman ameenda mara moja tuu mwaka juzi.
 
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo, upendo huanzia nyumbani. Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana. Toa tamko la kuomba radhi.
Siku hizi JF kuna "vilaza" wengi sana

Eti mjukuu aombe radhi kwa makosa ya Babu yake
 
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo, upendo huanzia nyumbani. Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana. Toa tamko la kuomba radhi.
Enzi hizo hakuwapo naye anasikia tu kwenye simulizi.
 
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo, upendo huanzia nyumbani. Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana. Toa tamko la kuomba radhi.
Mtoto haukumiwi kwa kosa Baba ,na Baba pia la mtoto. Huwezi kufanyia kosa wewe radhi nikaomba Mimi ,radhi haina niaba isipokuwa uwe mmoja wa watenda kosa uombe radhi kwa kuwakilisha na wenzako pia
 
Huyo jamaa Kama asingekimbia na kwenda huko UK asingekuwa Prof na asingeshinda hiyo tuzo.

Yeye ndio anatakiwa ashukuru, kuna jamaa nawafahamu walikimbia Zanzibar 2001 wakahamia UK wanashukuru Sana kwani maisha yao yapo safi sana wangekuwa Zanzibar wangekuwa wala urojo tu
Ni kitu gani kiliwafanya wakimbie 2001?
 
..Prof.Abdulrazak anatakiwa kuombwa radhi ya Serikali ya Mapinduzi Znz / SMZ.

..unyama uliomfanya Abdulrazak na wengine waikimbie Znz ulifanywa na vyombo vya DOLA vya serikali ya mapinduzi.
 
Mtoto haukumiwi kwa kosa Baba ,na Baba pia la mtoto. Huwezi kufanyia kosa wewe radhi nikaomba Mimi ,radhi haina niaba isipokuwa uwe mmoja wa watenda kosa uombe radhi kwa kuwakilisha na wenzako pia
Hawezi kukwepa kwakuwa ni mnufaika wa huo udhalimu.
 
Back
Top Bottom