Fatuma Karume muombe radhi Prof. Abdirazak Gurnar kwa niaba ya Mzee Karume

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
13,669
2,000
Yes kwa sababu CCM na mazao yao hawajawahi kuwa wema. Narudia Kama kweli ni mwema. Ajivue na arudishe favour zote alizopata kama mtoto wa kiongozi dhalimu. Na kwa kuanza kwakuwa ni mwanasheria aongoze mapambanao ya kuhakikisha Amani Abed Karume anafikishwa Mahakamani kwa dhuruma, mateso na mauaji aliyowafanyia Wanzazibar mwaka 2000. Vinginevyo ni Apportunist kama walivyo wengine. Ni vile tu mfumo uliopita haukuwa upande wake. Kama ni dhuruma Inchi hii ipo miaka yote na yeye amakuwa sehemu ya dhuruma hiyo miaka yote. Ni viazi tu Kama wewe wanaoweza kumsikiliza na kumuamini huyu bibi!
Wewe ndio kiazi kweli!Hapa sioni hoja yoyote,kazi ya kumfikisha muhalifu mahakamani ni ya DPP!Kesi za madai ndio huwa zinapelekwa na mtu binafsi,ila jinai ni kazi ya DPP kwa kushirikiana na jeshi la polisi!
Kuna watu Baba zao walikuwa Wema ila watoto wakaja kuwa majambazi and vice vesa!
Sasa unataka Mtoto abebeshwe mzigo Wa babu zake ili iweje?
 

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
6,821
2,000
No huko sio kumtendea haki, Kiafrika, mtoto hawezi kuomba msamaha kwa makosa ya mzazi.
P
Huyu jamaa ni kilaza sana....

Sio tu ni makosa ya mzazi, na makosa ya Rais; makosa ya Rais hayaombwi radhi na raia

Mkuu wafundishe hawa tofauti ya Babu Karume na Rais Karume

1633943525624.png
 

Crazy Joe

Member
Oct 8, 2021
23
75
Profesa aliondoka mwaka 1968 kukimbia kitu anaita terror ya Karume...Najiuliza kwa sauti, Kati ya Karume na Magufuli..tofauti ni nini?
 

Tangawizi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
4,255
2,000
Fatuma Karume gani? Huyu wa mahakama ya Vuga au mwingine? Mbona yeye hahusiki?
 

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
15,165
2,000
Ndugu zangu,

Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee Karume.

Uungwana ni vitendo, upendo huanzia nyumbani. Fatuma Karume aka shangazi kwenye hili umekuwa kimya sana. Toa tamko la kuomba radhi.

Fatma some radhi kwa makosa ya ASP chama ndugu wa CCM?

Kwanini Wakudadavuwa au ile mijamaa pale Lumumba kwanini isifanye kazi hiyo.

Kila mtu si na ajishindie mechi zake.
 

fundimchundo

JF-Expert Member
Jul 23, 2010
418
1,000
Kwa hiyo mtu anahukumiwa kwa makosa ya mwingine?Akili za wapi hizo?😝😝😝😝😝
Hizo ni akili za Mbweha alivyotaka kuhalalisha kumla Mwanakondoo.
Mbweha alimtuhumu Mwanakondoo kuwa, "mwaka jana ulinitukana", Mwanakondoo akajibu, "mbona nilikuwa sijazaliwa?".
Mbweha akamwambia kuwa kama hukuwa wewe, basis alikuwa Baba yako.
Akamkamata na kumla.
Akili ya Mbweha!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom