Fatma Karume: Maana ya Mapinduzi imepotea Zanzibar

Fatma Karume: Maana ya Mapinduzi imepotea Zanzibar

Hawa jamaa wamejisahau sana ni cancer mbaya sana katika hii nchi.

Alafu hivi siku hizi JF imekuaje?Yaani hii thread pamoja na mambo ya msingi yaliyoandikwa ina zaidi ya dakika 40 haina wachangiaji.Cha ajabu zikija thread za majungu ndio watu wanazipenda.JF is no longer forum for great thinkers!

Mtanisamehe,tumekuwa watu wa ajabu sana siku hizi.

kibo 10 ,hii ndio JF ya leo.

Anyway,labda hii mada sio mpya hapa Jukwaani.

Kumbuka mambo ni tofauti kabisa siku hizi. Nchi (Tanzania Bara na Zanzibar) imejaa vijana waliozaliwa miaka ya 1980. Unajua karibu asilimia 60 ya wapiga kura 2015 walikuwa na umri siyo zaidi ya miaka 35. Vijana wengi hawana elimu ya kutosha, uchambuzi wao uko chini. wanajua kuimba demokrasia lakini ukimuuliza kuwa demokrasia ni nini hawwezi kutoa jibu la maana. Wako vijana, na hawa ni wengi, wanaodhani kuwa demokrasia ni kutukana, kumsema kiongozi, kutotii mamlaka na kadhalika. hawajui kuwa demokrasia inaendana na nidhamu, hilo hawafahamu. Halafu wengi sio wachambuzi, hawasomi vitabu na maandiko mbalimbali. Wao ni mabingwa wa kuangalia TV na wanadhani huo ndio uchambuzi. Hawana muda wa kusoma theories, paradigms, political systems, democratization procdesses; self emancipation; geo politics. Wao wanadhani demokrasia ni ile inayohubiriwa na marekani na wasitambue kuwa huko marekani demokrasia yenyewe iko matatizoni kutokana na matajiri kushikilia maamuzi. Hawajui ukomunisti ni nini, na wala hawajui kuwa matatizo ya afrika yanasababishwa na neo-colonialism na kwamba mataifa wakoloni walitoa uhuru wa bendera na sio uhuru wa kiuchumi.

Vijana wengi wanafahamu kuwa demokrasia ni vyama vingi vya siasa na siyo zaidi ya hapo na kwamba demokrasia ya kweli ni pale upinzani unaposhinda kwenye uchaguzi na siyo vingine.

Vijana wengi hawawezi kujenga hoja iwe ni humu JF au kwingineko na kwamba matusi yakiwemo ya nguoni ni sehemu ya maisha yao. Hawawezi kuchangia mijadala ya maana ndani ya JF au kwingineko lakini wanaweza kuchangia tu ikiwa mijadala hiyo ni ya kuwasema watu na hasa viongozi na kadhalika. Hawawezi kuchangia mada za maana kwa kuwa hawana uwezo wa kuchangia hoja na kadhalika....
 
Pole kwa kuchelewa kujua kuwa CCM Zanzibar kazi yai ni kuhubiri na kuabudu ubaguzi tu
 
Kwanza siku hizi ukicomment tofauti na MCCM utegemee matusi.Ila kw aupande wangu nimeshangazwa na viongozi wa CCM kukubali kupokea BANGO lenye ubaguzi wa RANGI!!!!!!!Sidhani kama imekaa vizuri.Na kama hili halitakemewa basi CCM imekiuka haki za msingi za ubinadamu.Na dhambi ya UBAGUZI itazidi kuwatafuna CCM
Mkuu Tetty nikushangae kidogo hapo unaposema ccm imekiuka haki za binadamu leo hii? Ccm ndio imekuwa kinara wa kukiuka haki za bunadamu ktk uhai wa siasa za vyama vingi.
 
Kwa nn ikifika suala la uongozi ccm wanaleta theory nyingi, hata hilo la ubaguzi wao ndo waliolileta, hata huku bara walianza mambo ya kaskazin bila kujua ndo ubaguz wenyw, issue ni uchaguz umefanyika alieshinda atangazwe period, longo longo zinatoka wapi? kama ni changamoto huku bara kulikuwa na changamoto nyingi sana mbona uchaguz haukufutwa?

Mimi sizungumzii athari moja tu ya ubaguzi ambao una asili ya kihistoria na kijamii kama huko kubaguana kisiasa.

Ninachozungumzia ni asili ya huo ubaguzi na ukubwa wa tatizo la ubaguzi je una asili ya kisiasa? Au ubaguzi wa sasa kwenye siasa ni miongoni mwa maelfu ya athari za huu ubaguzi ambao asili yake sio vyama hivi vya kisiasa vya leo??

Nikaeleza wazi tatizo liko wapi na jinsi ya kulifumbua!

Sababu hata wakiingia cuf madarakani tatizo hili la ubaguzi ambao una asili ya kihistoria na kijamii hauwezi kuisha!
 
Fatma anajaribu kujenga hoja ila kwa taarifa yake...
Dhambi ya Babu zake na wahusika wengine dhidi ya John Okello itaendelea kuwatafuna mpaka Mwisho.
 
Huyu fatma kahamia lini cuf
Fatma Aman Abeid Karume hajahamia CUF na wala hana mpango wa kuhamia CUF, Yeye ni mwanaCCM.
Ameamua kupasua jipu na kusema Ukweli ambao uko wazi kwa wazanzibar karibu wote.
Mshindi wa Uchaguzi wa urais wa Zanzibar wa mwaka 2015 ni Seif Sharif Hamad kwa tofauti ya zaidi ya kura Elfu 25. Takwimu hizo zote toka kituo kwa kituo kwa Zanzibar yote wazanzibar wanazo, CCM wanazo, CUF wanazo, ADC wanazo, waangalizi wa ndani na nje wanazo na Tume ya uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) wanazo pia.

Sababu za kwanini mshindi hatangazwi zinajulikana pia. Nayo ni UBAGUZI tu.
Wadadisi wanasema, kwa tofauti hiyo kubwa ya kura, hata kama uchaguzi ungerudiwa Mara 20 katika mazingira ya haki kwa Zanzibar, bado Seif Sharifu Hamad atashinda tu.
 
Mkuu Tetty nikushangae kidogo hapo unaposema ccm imekiuka haki za binadamu leo hii? Ccm ndio imekuwa kinara wa kukiuka haki za bunadamu ktk uhai wa siasa za vyama vingi.
Ninafahamu hilo. Ila mengine huwa yanajificha la jana wamelianika peupe.Kama binadamu tunasema ameachwa UCHI wa mnyama
 
Fatma Aman Abeid Karume hajahamia CUF na wala hana mpango wa kuhamia CUF, Yeye ni mwanaCCM.
Ameamua kupasua jipu na kusema Ukweli ambao uko wazi kwa wazanzibar karibu wote.
Mshindi wa Uchaguzi wa urais wa Zanzibar wa mwaka 2015 ni Seif Sharif Hamad kwa tofauti ya zaidi ya kura Elfu 25. Takwimu hizo zote toka kituo kwa kituo kwa Zanzibar yote wazanzibar wanazo, CCM wanazo, CUF wanazo, ADC wanazo, waangalizi wa ndani na nje wanazo na Tume ya uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) wanazo pia.

Sababu za kwanini mshindi hatangazwi zinajulikana pia. Nayo ni UBAGUZI tu.
Wadadisi wanasema, kwa tofauti hiyo kubwa ya kura, hata kama uchaguzi ungerudiwa Mara 20 katika mazingira ya haki kwa Zanzibar, bado Seif Sharifu Hamad atashinda tu.

Na leo wametuambia wazi kwanini mshindi hatangazwi,Sababu ni Chotara wa Hizbu na Unguja ni Waafrika.Kwa ufupi ni sawa na kumwambia Maalim katafute kwenu ukatawale.
 
Mimi sizungumzii athari moja tu ya ubaguzi ambao una asili ya kihistoria na kijamii kama huko kubaguana kisiasa.

Ninachozungumzia ni asili ya huo ubaguzi na ukubwa wa tatizo la ubaguzi je una asili ya kisiasa? Au ubaguzi wa sasa kwenye siasa ni miongoni mwa maelfu ya athari za huu ubaguzi ambao asili yake sio vyama hivi vya kisiasa vya
Mimi sizungumzii athari moja tu ya ubaguzi ambao una asili ya kihistoria na kijamii kama huko kubaguana kisiasa.

Ninachozungumzia ni asili ya huo ubaguzi na ukubwa wa tatizo la ubaguzi je una asili ya kisiasa? Au ubaguzi wa sasa kwenye siasa ni miongoni mwa maelfu ya athari za huu ubaguzi ambao asili yake sio vyama hivi vya kisiasa vya leo??

Nikaeleza wazi tatizo liko wapi na jinsi ya kulifumbua!

Sababu hata wakiingia cuf madarakani tatizo hili la ubaguzi ambao una asili ya kihistoria na kijamii hauwezi kuisha!

leo??

Ulichokiandika sio sahihi kabisa.
Huo ubaguzi wa Kihistoria kwa wazanzibar wa kawaida walio wengi haupo na wanauchukia sana. Kama unabisha njoo Zanzibar ujionee mwenyewe.
Kilichopo ni baadhi ya viongozi wa CCM kutumia hizo roots za kibaguzi za kihistoria ili kutaka kuendelea kutaka kutawala Zanzibar.
Kwa mfano.
1/Abeid Karume hakuwa mpemba, lakini alihakikisha Mpemba habaguliwi.

2/Jamii kubwa sana ya Wazanzibar wameoana au kuzaana kati ya Muunguja na Mpemba. Hakuna kikwazo chochote katika kutaka kuoa mtu yoyote kutoka Pemba, Unguja au Bara.

3/Kiujumla Waunguja ni wengi kuliko wapemba, hivyo Historia za kibaguzi zingekuwa zinafanyakazi sasa, basi ungetegemea CCM ingepata ushindi kirahisi kabisa kwa sababu ina ngome Unguja na inahubiri ubaguzi dhidi ya wapemba.

4/Dr.Shein ni Mpemba, mwanaCCM, rais wa Zanzibar toka 2010, hakupata ushindi hata jimbo moja katika kisiwa cha Pemba mwaka 2010 na 2015. Na akapata ushindi kwenye majimbo mengi sana Unguja. Sasa ubaguzi upo wapi?

5/Self Sharif Hamad ambaye kiasili ni Mpemba, mbali na kupata ushindi kwenye majimbo yote 27 ya Pemba ambapo ni ngome ya CUF, kwenye uchaguzi wa 2015 amepata ushindi kwenye majimbo mengine Tisa ya Unguja ambapo ni ngome kuu ya CCM.
Sasa ubaguzi uko wapi?
 
  • Thanks
Reactions: GSL
CCM ni chama cha majitu yanayofikri leo na sio kesho.

Wanasiasa mara nyingi wanafikili jinsi ya kuendelea kutawala na mara zote huwa wanakinzana na matakwa ya walio wengi ambao wanataka maendeleo!! Kuwepo kwa contradiction hii ndio kunapelekea mara nyingi wanasiasa kuvihonga vyombo vya dola kwa kuvipa kila upendeleo ili viweze kutumika kuwakandamiza wananchi. Hapo hapo ikumbukwe kuwa wananchi wana kikomo cha uvumilivu wa kuporwa haki zao na mara muda ukiwadiadia na wakasema sasa imetosha ndio hapo nguvu zao huweza kuondoa aina yeyote ya utawala uliodharimu!!! CCM haina budi kujitafakali kwa hili huko Zanzibar.
 
Fatma babu yako alikuwa anajua vizuri maisha kabla ya mapinduzi yalikuwaje ndio maana yeye na wenzake walifanya mapinduzi. Baba yako alisoma vema baada ya Mapinduzi. Amekusomesha wewe vema na unashiba vizuri ndiyo maana unaona Mapinduzi yamepoteza maana. Ni hayo hayo Mapinduzi ndo yamekupa wewe fursa na uhuru wa Kutoa Maoni yako. Sasa kwa kuwa una hela za kukutosha iwapo Mapinduzi yakiondoka unaweza kuishi popote dunia ndiyo Sababu unashabikia sultan arudi zenj. Kwa taarifa yako kiongozi wa Mapinduzi alikuwa babu yako. Sultan unayemshabikia alitimuliwana babu yako kuwezesha wa zenj wajitawale na ndio maana babako mzazi naye aliweza kutawala zenj. Sasa huo ujuaji wako utakufanya wewe na familia uishi ukimbizini hii ni kwasababu sultan akirudi mtakuwa wa kwanza kulipizwa kisasi. Mwarabu atakaporejea viwanja na mashamba yote mnayomiliki mtaachia. Usimdhihaki mungu we binti uliyesomeshwa lakini huna u fahamu wa mambo. Hivi kwa nini maneno Haya hukuyasema kipindi mzee Amani Karume anatawala zanzibar serikali ya awamu ya 6? Unadhani ni rahisi Maalim seif kukupa wewe nafasi akiichukua Nchi? Kweli wewe inakubidi irudishwe shule maana hujifahamu kabisa!
Akili ya kibunuasi, nyumbu
 
Katika mijadala ya maana kama hii huwezi kuwakuta watu kama HAMY D, Rutashobolwa, Kansigo, nk. Wao thread zao huwa ni zile za kutetea chama chao, majungu, chuki kwa wapinzani wao kisiasa, kushambulia personalities kama Lowassa, Mbowe, Kubenea, Mnyika, nk.

Alafu na wao wanadai eti ni Great Thinkers!

So disgusting....
 
Fatma babu yako alikuwa anajua vizuri maisha kabla ya mapinduzi yalikuwaje ndio maana yeye na wenzake walifanya mapinduzi. Baba yako alisoma vema baada ya Mapinduzi. Amekusomesha wewe vema na unashiba vizuri ndiyo maana unaona Mapinduzi yamepoteza maana. Ni hayo hayo Mapinduzi ndo yamekupa wewe fursa na uhuru wa Kutoa Maoni yako. Sasa kwa kuwa una hela za kukutosha iwapo Mapinduzi yakiondoka unaweza kuishi popote dunia ndiyo Sababu unashabikia sultan arudi zenj. Kwa taarifa yako kiongozi wa Mapinduzi alikuwa babu yako. Sultan unayemshabikia alitimuliwana babu yako kuwezesha wa zenj wajitawale na ndio maana babako mzazi naye aliweza kutawala zenj. Sasa huo ujuaji wako utakufanya wewe na familia uishi ukimbizini hii ni kwasababu sultan akirudi mtakuwa wa kwanza kulipizwa kisasi. Mwarabu atakaporejea viwanja na mashamba yote mnayomiliki mtaachia. Usimdhihaki mungu we binti uliyesomeshwa lakini huna u fahamu wa mambo. Hivi kwa nini maneno Haya hukuyasema kipindi mzee Amani Karume anatawala zanzibar serikali ya awamu ya 6? Unadhani ni rahisi Maalim seif kukupa wewe nafasi akiichukua Nchi? Kweli wewe inakubidi irudishwe shule maana hujifahamu kabisa!
Inaelekea Fatma amerithi uthubutu wa babu yake. Mapinduzi sio lazima yawe ya silaha.
 
Naamini ushindi hauji kwa bahati,viwekwe vigezo vya haki na vya kimataifa uchaguzi urudiwe na ukawa wote wakae zaidi ya macho tuone Kama tutarudia Mara yatatu zaidi ya hapo itakua mabishano na vurugu zisizo mana.kwanza itathibitisha kuwa aliyeshinda anajiamini hâta uchaguzi urudiwe Mara Kumi,pia njia ya mwongo nifupi,alafu za mwizi arubaini kisha mwisho Wa uongo aibu mwosha huoshwa.
Zanzibar ninayoijua ni ndogo na kusimamia udanganyifu usitokee ni rahisi hasa Zama hizi za sayansi na teknolojia. Kiongozi bora si yule king'ang'anizi bali mwenye subra,ustahimilivu na kufatilia haki ni moja ya sifa.imetosha kujadili mkwamo kilasiku,mataifa yameelekeza macho zanzibar tayari twendeni uchaguzi Tena Wa haki na kweli tupate uhakika Wa malalamiko ya miaka nenda rudi.
. wenu
. Sisisiemu W. Sikafu
Na watumie mfumo wa fingerprint. Inaelekea vile viwino vinafutika.
 
Fatma babu yako alikuwa anajua vizuri maisha kabla ya mapinduzi yalikuwaje ndio maana yeye na wenzake walifanya mapinduzi. Baba yako alisoma vema baada ya Mapinduzi. Amekusomesha wewe vema na unashiba vizuri ndiyo maana unaona Mapinduzi yamepoteza maana. Ni hayo hayo Mapinduzi ndo yamekupa wewe fursa na uhuru wa Kutoa Maoni yako. Sasa kwa kuwa una hela za kukutosha iwapo Mapinduzi yakiondoka unaweza kuishi popote dunia ndiyo Sababu unashabikia sultan arudi zenj. Kwa taarifa yako kiongozi wa Mapinduzi alikuwa babu yako. Sultan unayemshabikia alitimuliwana babu yako kuwezesha wa zenj wajitawale na ndio maana babako mzazi naye aliweza kutawala zenj. Sasa huo ujuaji wako utakufanya wewe na familia uishi ukimbizini hii ni kwasababu sultan akirudi mtakuwa wa kwanza kulipizwa kisasi. Mwarabu atakaporejea viwanja na mashamba yote mnayomiliki mtaachia. Usimdhihaki mungu we binti uliyesomeshwa lakini huna u fahamu wa mambo. Hivi kwa nini maneno Haya hukuyasema kipindi mzee Amani Karume anatawala zanzibar serikali ya awamu ya 6? Unadhani ni rahisi Maalim seif kukupa wewe nafasi akiichukua Nchi? Kweli wewe inakubidi irudishwe shule maana hujifahamu kabisa!
Na wewe aliyekuambia Sultan anarudi ni nani? Article ya Fatma nimeilewa sana na wala hajaonesha kutokuwa na gratitude na matokeo ya mapinduzi, alichokisoema ni 'maana ya mapinduzi inapotea kutokana na ukiukwaji wa demokrasia' hivi unajua kwamba Zambia miaka ya hivi karibuni iliwahi kuwa na Raisi mzungu kwa kipindi fulani 'Guy Scott', katiba ilifuatwa ikaheshimiwa, demokrasia ikafanyika na wazambia wanaendelea na maisha yao ingawa kulitokea mengi ya kibaguzi ktk kipindi hicho, point yangu ni KATIBA kuheshimiwa, DEMOKRASIA kuheshimiwa, na ndio keypoint ya Fatma.
 
Watu kama hawa ni majina tu ya wazazi wao ndio yanayowabeba, ila kiuwezo ni wa kawaida sana, jana nimemsikiliza katika kongamano la wanasheria akitoa mada kuhusiana na changamoto za kisheria ambazo zilijitookeza katika uchaguzi mkuu zanzibar, kwakweli hakuzungumza lolote la kisheria acha liwe na kimantiki kwani hoja zake zilikua za kisiasa zaidi, na ilishangaza hata tafsiri ndogo tu ya neno mtu mwenye heshima kama moja ya sifa ya kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya zanzibar zec, ilimshinda. Wakati mwingine msitishike na majina ya mwisho tuangalie content, kama angekua anaitwa fatuma mwanahaki sidhani kama angepata media coverage.
 
Back
Top Bottom