Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Hivi hata kutoa lifti tayari ishakuwa nongwa?
Hivi hata kutoa lifti tayari ishakuwa nongwa?
Utawajua tu! Mbona hujawapa lifti majirani mtaani kwako?
tusikurupuke mazee, unajuaje kwamba hatoi lifti kwa jirani zake?
Asingetumia lifti kama kisingizio cha kuwapata wadogo zetu; Si unaona amekuwa wa kwanza kujitetea kuwa yeye hutoa lifti tu! angeona ni wajibu kwake na wala asingeona kama ni boooonge la msaada; kwa mantiki hiyo ya kuona yeye anatoa favor kwa jamii namhesabia kuwa ni mtu anayetaka something in return na hii ni sifa ya kwanza ya mafisadi ; kuitoa misaada ya kawaida ktk hali ya kimitego mitego!
By the way Chief; upo?
Mzima weye?
tusikurupuke mazee, unajuaje kwamba hatoi lifti kwa jirani zake?
Kiongozi una uthibitisho wowote juu ya tuhuma hiyo?Utawajua tu! Mbona hujawapa lifti majirani mtaani kwako?
Ahsante kiongozi kwa kumstukia huyu mtu.tusikurupuke mazee, unajuaje kwamba hatoi lifti kwa jirani zake?
Hivi hapo kuna uthibitisho wowote kuwa alikuwa anatoa lifti kwa return ya ngono? What if ni mtoto wake utajuaje? Kwa kawaida mwizi huwa anamhisi kila mtu ni mwizi mwenzie.Asingetumia lifti kama kisingizio cha kuwapata wadogo zetu; Si unaona amekuwa wa kwanza kujitetea kuwa yeye hutoa lifti tu! angeona ni wajibu kwake na wala asingeona kama ni boooonge la msaada; kwa mantiki hiyo ya kuona yeye anatoa favor kwa jamii namhesabia kuwa ni mtu anayetaka something in return na hii ni sifa ya kwanza ya mafisadi ; kuitoa misaada ya kawaida ktk hali ya kimitego mitego!
By the way Chief; upo?
Mzima weye?
sawa baba, nimekuelewa!!! i hope no harm done... nipo na nashkuru mungu
siku hizi wanaitwa kwea pipa ha haaaaaaaaa
ha ha ha!! Mafataki ni nomaa acha tu....ndo maana napeleka watoto wote boarding hii ya nenda rudi hii lazima wata-mtyme tuu!! Lol
Kiongozi una uthibitisho wowote juu ya tuhuma hiyo?
Ahsante kiongozi kwa kumstukia huyu mtu.
Hivi hapo kuna uthibitisho wowote kuwa alikuwa anatoa lifti kwa return ya ngono? What if ni mtoto wake utajuaje? Kwa kawaida mwizi huwa anamhisi kila mtu ni mwizi mwenzie.
Ila bwana hutu tutoto tunavaaga mpaka unajiuliza tumetoka mazoezini twanga au FM?
Afu vingine mashalaaaa balaaaaa vinapenda ya wakubwa...
Wazazi wadili na hutu tubinti watueleze kwamba bado vitoto vitulie