Mafataki ya wahindi ni Kero kwa wagonjwa

Midazolam

JF-Expert Member
Aug 15, 2020
806
1,337
Najua mmepewa kibali, Ila kwa upande mwingine serikali itazame kwa wenye shida ya matatizo ya Moyo na wagonjwa wengine.

Mnapiga fataki Kati Kati ya jiji na hospitali zetu zipo ndani ya jiji,

Naomba serikali itazame hili jambo kwa Mara ya pili, mnatupa shida na kuleta usumbufu kwa wagonjwa .
 
Shenzi kabisa hawa wamefanya nmeamka kucheki nje kunani maana ya gongo la mboto yalikuwaga hvyo hvyo
 
Najua mmepewa kibali, Ila kwa upande mwingine serikali itazame kwa wenye shida ya matatizo ya Moyo na wagonjwa wengine.

Mnapiga fataki Kati Kati ya jiji na hospitali zetu zipo ndani ya jiji,

Naomba serikali itazame hili jambo kwa Mara ya pili, mnatupa shida na kuleta usumbufu kwa wagonjwa .
Ndo hayo ya apo tmj?
 
WAHINDI NI MAFALA TU NDIO MAANA CRISTIANO RONALDO ALIMPOTEZEA SALMAN KHAN KWENYE GAME YA FRANCIS NGANNOU BOXING KAMA HAJAMUONA HIVI
 
kiukwel staha n muhimu lkn mpk ss hv saa 6 usiku wanapiga utaadhan hawana wazee wagonjwa makwao
 
Back
Top Bottom