Fataki mawindoni! Tupige vita MAFATAKi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
mwanafunzi.jpg
 
tusikurupuke mazee, unajuaje kwamba hatoi lifti kwa jirani zake?

Asingetumia lifti kama kisingizio cha kuwapata wadogo zetu; Si unaona amekuwa wa kwanza kujitetea kuwa yeye hutoa lifti tu! angeona ni wajibu kwake na wala asingeona kama ni boooonge la msaada; kwa mantiki hiyo ya kuona yeye anatoa favor kwa jamii namhesabia kuwa ni mtu anayetaka something in return na hii ni sifa ya kwanza ya mafisadi ; kuitoa misaada ya kawaida ktk hali ya kimitego mitego!

By the way Chief; upo?

Mzima weye?
 
sawa baba, nimekuelewa!!! i hope no harm done... nipo na nashkuru mungu
 
Utawajua tu! Mbona hujawapa lifti majirani mtaani kwako?
Kiongozi una uthibitisho wowote juu ya tuhuma hiyo?

tusikurupuke mazee, unajuaje kwamba hatoi lifti kwa jirani zake?
Ahsante kiongozi kwa kumstukia huyu mtu.

Asingetumia lifti kama kisingizio cha kuwapata wadogo zetu; Si unaona amekuwa wa kwanza kujitetea kuwa yeye hutoa lifti tu! angeona ni wajibu kwake na wala asingeona kama ni boooonge la msaada; kwa mantiki hiyo ya kuona yeye anatoa favor kwa jamii namhesabia kuwa ni mtu anayetaka something in return na hii ni sifa ya kwanza ya mafisadi ; kuitoa misaada ya kawaida ktk hali ya kimitego mitego!

By the way Chief; upo?

Mzima weye?
Hivi hapo kuna uthibitisho wowote kuwa alikuwa anatoa lifti kwa return ya ngono? What if ni mtoto wake utajuaje? Kwa kawaida mwizi huwa anamhisi kila mtu ni mwizi mwenzie.
 
ha ha ha!! Mafataki ni nomaa acha tu....ndo maana napeleka watoto wote boarding hii ya nenda rudi hii lazima wata-mtyme tuu!! Lol

Asalalaaaaaaa weye hujafuatilia tangazo nn? wapo kila kona; mwanfunzi mwenzie; mwalimu wake; jirani yake .....................tena boarding kama kuna issue inamalizwa na huwezi jua mkuu!

Piga magoti omba kwa ajili ya ulinzi wa wanao!
 
Kiongozi una uthibitisho wowote juu ya tuhuma hiyo?

Ahsante kiongozi kwa kumstukia huyu mtu.

Hivi hapo kuna uthibitisho wowote kuwa alikuwa anatoa lifti kwa return ya ngono? What if ni mtoto wake utajuaje? Kwa kawaida mwizi huwa anamhisi kila mtu ni mwizi mwenzie.

And the same applies una uthibitisho?
 
Ila bwana hutu tutoto tunavaaga mpaka unajiuliza tumetoka mazoezini twanga au FM?
Afu vingine mashalaaaa balaaaaa vinapenda ya wakubwa...
Wazazi wadili na hutu tubinti watueleze kwamba bado vitoto vitulie
 
Unakuta mtoto wa O Level hana boyfiend wa shuleni kwao, yeye ni wakaka wanaofanya kazi na watu wazima tu. Kwa kuwa hao ndio wanaweza kumnunulia simu, vocha na pamba za kufa mtu!

Mmomonyoko wa maadili kwenye jamii unatisha. Mtoto mdogo anavaa nguo za gharama wazazi wala hawashtuki kumuuliza kapata wapi.
 
Back
Top Bottom