Uwanja wa ndege Mwanza kuna tatizo la (ndege hai) wengi maana hata ile ndege ya jeshi ilipata ajari kisa ndege hai kaingia kwenye injini ya ndege
Hivi bado mnapanda tu midenge!!?
Ulitaka apande meli!
Wakuu,
Naandika hapa huku mapigo ya moyo yapo juu sana. Natokea Mwanza muda huu na flight ya saa8:25 fastjet kurudi Dar. Tumefika kwenye run-way na mbio zikaanza za kutafuta speed ya kupaa, wallahiiii ndege si wakakatiza ghafla juu na si tayari Kasuku (fastjet) yupp kibati... Aiseee zimefungwa break mpaka tumehama ndani pamoja na mikanda kufungwa.
Nashukuru tuko salama na imebidi turudi tutoke nje ya ndege. Tumerudi terminal ndege inakaguliwa
Da! hakuna usafiri na uogopa kama ndege, ktk maisha yangu ndege nimepanda mara 2 tena kwa matatizotu sivinginevyo, pole sana
tereni/tren
Mkague na rubani!Wakuu,
Naandika hapa huku mapigo ya moyo yapo juu sana. Natokea Mwanza muda huu na flight ya saa8:25 fastjet kurudi Dar. Tumefika kwenye run-way na mbio zikaanza za kutafuta speed ya kupaa, wallahiiii ndege si wakakatiza ghafla juu na si tayari Kasuku (fastjet) yupp kibati... Aiseee zimefungwa break mpaka tumehama ndani pamoja na mikanda kufungwa.
Nashukuru tuko salama na imebidi turudi tutoke nje ya ndege. Tumerudi terminal ndege inakaguliwa
Wanaikagua kwa kuwa Engine za ndege zilikuwa tayari zimepewa full power (realease full power kwa ajili ya take off), hivyo tulivyosimama ghafla sana Engine zikawa shuttered, yaani zikaloose power from say labda 100% to 0% in seconds, kitu ambacho sio kizuri. Pilot amerudisha ndege kwa ukaguzi kama kuna any damage imepatikana kutokana na kuabort landing ghafla akiwa speed tayari. Nashukuru Mungu tumepona na kusalimika. Yaani sijui sasa hivi ingekuwaje
Mkuu ajali za ndege zinatokea mara ngapi Tanzania ukilinganisha na ajali za magari? ndege ni usafiri ulio salama!
Hivi kuna treni zinatoka dar mpaka mwanza? au niushamba wangu unanisumbua
Duu! Pole ata ivo mngetangazwa dunia nzima kwamba kisanduku kinatafutwa kujua chanzo cha ajaili, au hutaki?Wakuu,Naandika hapa huku mapigo ya moyo yapo juu sana. Natokea Mwanza muda huu na flight ya saa8:25 fastjet kurudi Dar. Tumefika kwenye run-way na mbio zikaanza za kutafuta speed ya kupaa, wallahiiii ndege si wakakatiza ghafla juu na si tayari Kasuku (fastjet) yupp kibati... Aiseee zimefungwa break mpaka tumehama ndani pamoja na mikanda kufungwa. Nashukuru tuko salama na imebidi turudi tutoke nje ya ndege. Tumerudi terminal ndege inakaguliwa