walioharibia fastjet soko ni maagent binafs coz wamenunua siti zote za bei rahisi ili wauze wao nfo maana ukienda sasa hivi wanakwambia zimejaa
Kwa kile kinachoonesha Fastjet wamedhamiria kufanya mapinduzi ya Anga. wameleta ndege nyingine aina ya Airbus A319.....
Una kiroba cha ngapi hapo?hahaaaa duh full kumix au unania nyengine ya kubadilisha mjadala kwa makusudi
wana nunua ki vp? tiket za ndege ni tofaut na ulanguz wa tiket za mpira... wenzako wanapanga safari kwa miezi kadhaa.. we wa siku mbili unataka nauli ya bei rahisi unadhani utapataje unafuu?
ngoja nikujuze ni kwamba unafaham maagent au ngoja niseme travel agents kama serengeti travels, masumni tours nakadhalika? hao nao pia wanahusika kufanya bookng za ndege espcly kwa wateja wao ambao hao agents huwaandalia safari zao. so hawa watu hupurchase hizi ticket wao na wanaanza kuziuza kwa watu kwa bei ya.juu ili wapate faida. hujiongezi kuna nani anaeza fanya bookng ya feb now? i knw wat am saying coz nishawah kata ndege kwa travel agent na pia kwenye ofisi za ndege zenyewe so i knw the difference... sikukurupuka
kijana fastjet hawana ubia na travel agents yeyote hapa Tz.. hii ni low cost Airline unadhani wakiruhusu trvel agents kutakuwa na low fares???? shughulisha ubongo wako kijana
haya sema yapi uliyonayo? sababu ushaambiwa hakuna ubia na travel agents yeyote we wabisha
Poleni watu wa PW naona mnaleta majungu tu hapa. FastJet mwendo mdundo ndugu yangu.
ar u sure ur in the right place????jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
sisi tunaacha mgombanie huko (kajamba nani) tuko kwa precission air, huku dar-mwanza-dar 199,000/= mi naona poa tuu. ndege ya uhakika. Sitasahau ile siku fastjet walitupigia simu usiku kututaarifu abiria tuliokuwa tunasafiri kesho yake eti 'MSIJE NA MIZIGO, HATUPAKII MIZIGO'wakimaanisha mabegi yetu yale makubwa ya nguo.
acha dharau hizo za kijinga, leo pw ndio wanaona inawezekana dar mwanza dar kwa 199,000, baada ya kuona fastjet wamekuja kutumbulua kuwa usafiri wa anga unaweza kuwa rahisi kiasi hichi ? Yaani watanzania tumezoea kupigwa na sisi tunakuwa na bichwa eti ukinunua kitu bei ghali we ndio mjanja, yaani ufisadi hadi kwenye biashara, yaani wabongo wajinga mpaka kichwa kinauma, nakumbuka dr. Slaa alivyowambia wabongo mfuko wa cement atafanya mfuko wa cement uwe elf 5 wakaona haiwezekani, na ndio maana vitu vinapanda kila siku tunaona poa