Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
Jamaa inaonekana hawajaja kujaribu soko..nimepanda precision ya Dar-Arusha jana ikiwa na viti vingi wazi..hali itazidi kuwawia mbaya kwa style hii hakika.
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
Asante kwa taarifa Mkuu, hebu nifahamishe booking ya bei nafuu inaanzia siku ngapi?
Hata hivyo wana ndede ambazo kwa kawaida ni nzuri; mi huwa napenda Airbus kuliko Boeing kwa sababu hata kwa economy class viti kwenye Airbus huwa na space zaidi kwa sababu ya upana wa ndege za aina hii.
Kwa kile kinachoonesha Fastjet wamedhamiria kufanya mapinduzi ya Anga. wameleta ndege nyingine aina ya Airbus A319.....
Siyo ndege mpya, ni zilizotumika na wamekodi
mpya imetoka wapi na imetoka nch gani.uwezo huo wa kununua mpya wanao?
sisi tunaacha mgombanie huko (kajamba nani) tuko kwa precission air, huku dar-mwanza-dar 199,000/= mi naona poa tuu. ndege ya uhakika. Sitasahau ile siku fastjet walitupigia simu usiku kututaarifu abiria tuliokuwa tunasafiri kesho yake eti 'MSIJE NA MIZIGO, HATUPAKII MIZIGO'wakimaanisha mabegi yetu yale makubwa ya nguo.
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
Una kiroba cha ngapi hapo?hahaaaa duh full kumix au unania nyengine ya kubadilisha mjadala kwa makusudi
Safi kabisa, hawa jamaa wa Precision na ATC wametuibia sana!
Kusafiri kwa ndege yaani mtu ilibidi ujiandae miaka!
Hongera sana kwa jamaa wa fastjet
Hawa jamaa hawana utani kabisa!ukitaka kujua wako serious hebu ingia easyjet.com upate kuona business model yake na ujue kuwa wanatashika market ya EA yoote!Wenzetu Kenya wameshaanza kutoa vibali vya cheap flying business!only kukabiliana na biashara ya hao jamaa!wako serious!
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
Una kiroba cha ngapi hapo?hahaaaa duh full kumix au unania nyengine ya kubadilisha mjadala kwa makusudi
Zipo mkuu labda alikuwa anamaanisha zile za 32,000, ukifanya booking sasa hivi labda kuondoka tarehe 9 January unapata ya 48,000 ambayo ukilipa na tax inakuwa 59,000, assuming unataka usafiri toka Dar - Mwanza tarehe 31 Dec na kurudi January 17 utaona kwamba kutoka Dar utapata ile ya 32,000 (43,000) na kurudi ipo ya 48,000 (59,000) hivyo usiogope fanya booking sasa hivi ticket zipo just google fastjet unapata mwongozo, hiypo nimecheck sasa hivi nimepata hiyo na ukichelewa ukaja kesho utakuta bei imebadilika na mwisho wa siku utapanda Super Najimunisa au Zuberi kwenda Mwanza
[TABLE="class: BasketItemsTable"]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: outboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"] Dar es Salaam to Mwanza (FN0161)[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Departure:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 31 Dec 06:00[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Arrival Time:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 31 Dec 07:30[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Fare:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 32,000 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Taxes:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Total:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 43,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: inboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"] Mwanza to Dar es Salaam (FN0162)[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Departure:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 17 Jan 08:45[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Arrival Time:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 17 Jan 10:15[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Fare:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 48,000 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Taxes:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Total:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 59,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total fares and taxes:[/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 102,080 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total Baggage:[/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 0 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketGrandTotalRow"]
[TD="class: BasketGrandTotalColumn1, colspan: 2"] [TABLE="class: BasketGrandTotalTab"]
[TR]
[TD="class: BasketGrandTotalCaption"] Total payable:[/TD]
[TD="class: BasketGrandTotalPrice"] 102,080 TZS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ANGALAU MWAKA MPYA UTAWAHI
Asante kwa taarifa Mkuu, hebu nifahamishe booking ya bei nafuu inaanzia siku ngapi?
Hata hivyo wana ndede ambazo kwa kawaida ni nzuri; mi huwa napenda Airbus kuliko Boeing kwa sababu hata kwa economy class viti kwenye Airbus huwa na space zaidi kwa sababu ya upana wa ndege za aina hii.
Nashukuru sana mkuu,ngoja niwahi kufanya booking..this time nimedhamiria nikapate mchemsho wa Sato original toka Ziwani! Nitakua Malaika pale..