Fastjet waleta ndege mpya

Fastjet waleta ndege mpya

sisi tunaacha mgombanie huko (kajamba nani) tuko kwa precission air, huku dar-mwanza-dar 199,000/= mi naona poa tuu. ndege ya uhakika. Sitasahau ile siku fastjet walitupigia simu usiku kututaarifu abiria tuliokuwa tunasafiri kesho yake eti 'MSIJE NA MIZIGO, HATUPAKII MIZIGO'wakimaanisha mabegi yetu yale makubwa ya nguo.
 
Mkuu hata kama ungepandishwa daraja mishahara ya Tz wewe kama si kigogo hutakuwa na mshahara wa kukuwezesha kusafiri kwa ndege i mean Fastjet...!

Mkuu ina maana hata kusafiri na Bus hawezi. Kwa maana ukifanya booking mapema kwa oneway ya DAR-MZA au DAR -KIA pamoja na kodi iko kwenye elfu 43 tu.
 
sisi tunaacha mgombanie huko (kajamba nani) tuko kwa precission air, huku dar-mwanza-dar 199,000/= mi naona poa tuu. ndege ya uhakika. Sitasahau ile siku fastjet walitupigia simu usiku kututaarifu abiria tuliokuwa tunasafiri kesho yake eti 'MSIJE NA MIZIGO, HATUPAKII MIZIGO'wakimaanisha mabegi yetu yale makubwa ya nguo.

Poleni watu wa PW naona mnaleta majungu tu hapa. FastJet mwendo mdundo ndugu yangu.
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.

Aisi, watu tunafurahia fastjet we unaleta mambo gani tena
 
Safi kabisa, hawa jamaa wa Precision na ATC wametuibia sana!
Kusafiri kwa ndege yaani mtu ilibidi ujiandae miaka!

Hongera sana kwa jamaa wa fastjet
 
Kwahiyo sikukuu hii imekula kwangu! Mpaka february tena ndio booking?

Zipo mkuu labda alikuwa anamaanisha zile za 32,000, ukifanya booking sasa hivi labda kuondoka tarehe 9 January unapata ya 48,000 ambayo ukilipa na tax inakuwa 59,000, assuming unataka usafiri toka Dar - Mwanza tarehe 31 Dec na kurudi January 17 utaona kwamba kutoka Dar utapata ile ya 32,000 (43,000) na kurudi ipo ya 48,000 (59,000) hivyo usiogope fanya booking sasa hivi ticket zipo just google fastjet unapata mwongozo, hiypo nimecheck sasa hivi nimepata hiyo na ukichelewa ukaja kesho utakuta bei imebadilika na mwisho wa siku utapanda Super Najimunisa au Zuberi kwenda Mwanza

[TABLE="class: BasketItemsTable"]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: outboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"] Dar es Salaam to Mwanza (FN0161)[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Departure:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 31 Dec 06:00[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Arrival Time:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 31 Dec 07:30[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Fare:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 32,000 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Taxes:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Total:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 43,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: inboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"] Mwanza to Dar es Salaam (FN0162)[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Departure:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 17 Jan 08:45[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Arrival Time:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 17 Jan 10:15[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Fare:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 48,000 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Taxes:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Total:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 59,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total fares and taxes:[/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 102,080 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total Baggage:[/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 0 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketGrandTotalRow"]
[TD="class: BasketGrandTotalColumn1, colspan: 2"] [TABLE="class: BasketGrandTotalTab"]
[TR]
[TD="class: BasketGrandTotalCaption"] Total payable:[/TD]
[TD="class: BasketGrandTotalPrice"] 102,080 TZS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

ANGALAU MWAKA MPYA UTAWAHI
 
Safi kabisa, hawa jamaa wa Precision na ATC wametuibia sana!
Kusafiri kwa ndege yaani mtu ilibidi ujiandae miaka!

Hongera sana kwa jamaa wa fastjet

Ukichelewa booking nauli ni almost the same na wakati mwingine hata huko presion nako unaweza pata ndege ya chini pia, ila kiukweli hawa jamaa ni wazuri sana kwa wale wanafanya safari za kujipanga maana return ticket haizidi laki moja. Ila wamekomesha kipengele limoja tu hakuna kubeba samaki maana ndege inayotoka Mwanza lazima abiria wengi utawaona na ndoo ya samaki wabichi hivyo kidogo vijizawadi vya samaki wabichi toka Mwanza hakuna
 
Jamaa wa ukweli sana hawa

UKWELI SANA wao utajulikana end of January next year pale msongamano wa wasafiri wa X-mas na Mwaka Mpya utakapokwisha!!!

Asijiekuwa kama zile TOYOTA COASTER za UBUNGO-MOSHI/ARUSHA wakati wa KRISMAS.....Baada ya wimbi la wasafiri wa sikukuu, vyombo vya usafiri vinabakia kuwa KUU KUU......
 
Ukichelewa booking nauli ni almost the same na wakati mwingine hata huko presion nako unaweza pata ndege ya chini pia, ila kiukweli hawa jamaa ni wazuri sana kwa wale wanafanya safari za kujipanga maana return ticket haizidi laki moja. Ila wamekomesha kipengele limoja tu hakuna kubeba samaki maana ndege inayotoka Mwanza lazima abiria wengi utawaona na ndoo ya samaki wabichi hivyo kidogo vijizawadi vya samaki wabichi toka Mwanza hakuna

Asante kwa taarifa Mkuu, hebu nifahamishe booking ya bei nafuu inaanzia siku ngapi?

Hata hivyo wana ndede ambazo kwa kawaida ni nzuri; mi huwa napenda Airbus kuliko Boeing kwa sababu hata kwa economy class viti kwenye Airbus huwa na space zaidi kwa sababu ya upana wa ndege za aina hii.
 
sisi tunaacha mgombanie huko (kajamba nani) tuko kwa precission air, huku dar-mwanza-dar 199,000/= mi naona poa tuu. ndege ya uhakika. Sitasahau ile siku fastjet walitupigia simu usiku kututaarifu abiria tuliokuwa tunasafiri kesho yake eti 'MSIJE NA MIZIGO, HATUPAKII MIZIGO'wakimaanisha mabegi yetu yale makubwa ya nguo.

Mkuu we crew wa Precision nini! Mi nimependa sana precision, hawa jamaa wamefikia mahala wakawa wanalinga sana kwa sababu hawakuwa na mshindani. Na hizi adha za hapa na pale ziko na huko. Siku moja nilikuwa natoka Mtwara kuelekea dar tulikaa kwenye ndege kama saa nzima bila AC
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.

inawezekana ata madai yako kwenye h/mashauri mkuu huwa hupeleki sehemu husika kama ulivofanya huku au mimi ndo sijaelewa labda h/mashauri yenu ndo wamiliki wa fastjet kwamba wananunua ndege mpya wakati hawajawapandisha madaraja!
 
Fastjet naamini wataweza kwa kiasi kikubwa kustabilise market tangu PW wajifanye ndo Tanesco ya angani (full monopoly) kisa wao ndo walikua na equipments peke yao. Imefikia wakati sasa hata Africa low cost airlines zije za kutosha washindane.
We have witnessed business model such as that of Ryannair zikifanikiwa sana Europe and Asia wakitumia low cost strategy na ndo one of the airline company ambazo zina operate with profit year in year out.
FastJet wamejaribu the same in Europe and its working fine kwao.
Wameamua kuexpand their horizon and it will work for them too.
PW wakae na propaganda zao za kuhonga jamaa wengine wanyimwe vibali ili wao waendelee ku monopolize the air ila naona its not working out to their advantage anymore. Naona jamaa TCAA wameamua kuwapotezea sasa na kuachia biashara huria.
FN (fastjet) wameonesha njia na wakiacha tamaa watafanikiwa na soko la PW litakua matatani sana kama hawataamua kuiba hiyo business model ya FN and Ryannair.
Tatizo wao bado wamekomaa na inflight entertainment ambazo ni costs kubwa sana ku-shoulder especially in a business that is so volatile such as airline business.
Wakenya wameshaona tishio ndo maana wanataka ku neutralize their power mapemaaaaaa.
Route za Mombasa, Entebbe na Nairobi am sure watakamata vichwa vingi sana wakiamua kukaza cause KQ (Kenya Airways) na partners wao PW wamekua wakichukua hela nyingi sana kwenye hizo route. Ujio wa FN kwenye hilo soko lazima uta neutralize na kudissolve some aspects in the soko if at all FN wata pursue hizo routes.
They have all that it takes to go.
Tumeshaliwa hela zetu sana nadhani sasa ni wakati tuliokua tukiusubiri kwa hamu.
Travel smart and travel light. Huna haja ya kubeba mamizigo kama una hama wakati unaenda kwa wiki 1 au kwa business deal.
Nawakaribisha sana hawa jamaa na nimeshaanza kusafiri nao na nawasifu kwa kua vere ontime performers. Hawacheki na mda wala kima.
Mpaka sasa najua PW wanapasua sana vichwa vyao na kujaribu ku counter attack FN ila bado sana.
Wameanza na promo yao couple travel for 50% eti mpaka 31st December.
Tehe tehe tehe.
Na bado. Dadeq.
Mpaka usafiri wa ndege uwe kama boda boda bongo hapa.
Na soko la PW tayari lishayumba kwa % kama 50 hv ingawa wao wanaangalia abiria wao wa festival season wanajipa nao moyo.
Ukiwaona walivyo busy airport wanaangalia kila Parrot ( FN) anavyoruka anaondoka na watu wangapi na kutua na abiria wangapi mwanza na kia.
Ngoja nikakate ticket mazee. Xmass ndo hiyooooo. Niende zangu Mwanza nikale samaki.
Karibuni sana FN mle vinono kwa bei nafuu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
Huyu ni Ana maslahi na Precision air
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.

We Mutulanzela nilikushauri kuwa kwa vile umeingia humu jamvini sasa inabidi upunguze Bange zako nikadhani umenielewa kumbe wapi. Unaona sasa umeingia uchaka mchana kweupee, Watu wanazungumzia FASTJET we unatuletea mambo ya halmashauri na kupanda madaraja, vina uhusiano gani? Na kama wewe ni mwalimu basi elimu ya Wanetu ipo ICU.Kama Halmashauri haikupandishi daraja siuende we mwenyewe ukapande lile daraja la Manzese ili mambo yaishe?
 
Siyo ndege mpya, ni zilizotumika na wamekodi
 
Back
Top Bottom