Fastjet waleta ndege mpya

Fastjet waleta ndege mpya

Nashukuru sana mkuu,ngoja niwahi kufanya booking..this time nimedhamiria nikapate mchemsho wa Sato original toka Ziwani! Nitakua Malaika pale..

Achana na malaika kwenye samaki wa kwenye fridge..... njoo MALIKUSEMA utapaata Sato Fresh¡¡¡¡¡¡¡
 
kila la heri fast jet inabidi mkomae aswaa isije ikawa km zama zile za community air lines
 
Kwahiyo sikukuu hii imekula kwangu! Mpaka february tena ndio booking? jamani sio kweli kama booking zimejaa, ki ukweli nafasi zipo ila bei ndo utapangiwa kutokana na ukaribu wako wa kusafiri, mfano uki book week mbili kabla ya safari , unaweza lipa 86000, ikiwa too soon unaweza lipa 120000, nafasi za 32000 ndo zimejaa kwa hivi karibuniQUOTE]
 
From Wikipedia, the free encyclopedia

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] [TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH]IATA
FN[/TH]
[TH]ICAO
FTZ[/TH]
[TH]Callsign
GREYBIRD[/TH]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]

[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: label"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Fastjet is a low-cost pan-African airline established by Stelios Haji-Ioannou, known for founding the low-cost short haul airline easyJet. It aims to provide the same service of its European counterpart to the African continent and first flights under the brand commence in November 2012.[SUP][1][/SUP] The firm is owned by Rubicon which acquired a 49% stake in the firm's holding company, Fly540. The airline will have a maximum of four flights a day with the biggest flight having a capacity of 156 passengers.[SUP][1][/SUP] Fastjet starts flight operations on November 29, 2012.

The airline chose Dar es Salaam, Tanzania, as its first operating base in Africa, with flights from Julius Nyerere International Airport commencing on 29 November 2012. Currently (December 2012) flights operate between Dar es Salaam and Kilimanjaro, and between Dar es Salaam and Mwanza. Further routes will be added in the coming weeks, both domestically and to other East African destinations.[SUP][8][/SUP] FastJet will move its operation office from Tanzania to Kenya, once it has approval to operate in Kenya.[SUP][9][/SUP] Once established in East Africa, FastJet has plans to launch in Ghana and Angola.[
 
Siyo ndege mpya, ni zilizotumika na wamekodi
kukodi haimaanishi unakodi zilizotumika. unaweza kukodi ndege mpya kabisa.
yapo makampuni yanafanya hiyo biashara hiyo wewe.
usikurupuke kama mkojo wa asubuhi
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. Kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.

bange...
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.

Naona kweli yamekufika, watu wanajadili usafiri wa anga wewe unaleta habari za madaraja.Wafanyakazi kila tarehe 01/05/ mnaimba soledarity forever lakini hamna lolote kabisa
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.

umepiga kitu cha arusha nin mixer na chimpumu!
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.

Hebu subiri kidogo tuangalie kwanza ndege.
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.
wewe jamaaa madaraja watu wanajivusha! kama mkurugenzi ni mbishi jipandishe mwenyewe
 
jamani kuna halmashauri hapa nchini hazifai, tumeajiliwa tangu mwaka 2005,mpaka sasa hatujapindishwa daraja mnamo mwaka jana mwezi wa kumi tulipewa barua za kukubali madaraja na mwisho wa siku wakadai tuludishe barua zote. kwa hiyo mpaka sasa madaraja hayajapanda na mkurugenzi ni mbishikupandisha watu madaraja.

Umezidisha Bangi ndio maana nikakwambia urudishe barua ya kukupandisha daraja. Mbona wenzako walishachukua zao. Mibangi yako mpaka wenzako tunajadili Fastjet wewe unawaza kupanda daraja. Njoo ofisini umuone PS akupe barua yako ya kustaafishwa
 
Michael Jackson alipofariki ukabadirisha jina na kujiita papa wemba? Kwa akili yako ndege mpya na 'used' tofauti yake unaiangalia wapi?

Bwahahaha

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Michael Jackson alipofariki ukabadirisha jina na kujiita papa wemba? Kwa akili yako ndege mpya na 'used' tofauti yake unaiangalia wapi?

unavojua kutetea utafikiri umepewa kua dry cleaner wa io ndege
 
hii nayo inahusu fast jet mkuu,au umechanganya desa comrade?......ok sio mbaya ujumbe wako utawafikia tu pande hizi za fast jet huwa wanapita pia.......au kama vipi andika barua ya kuomba uhamisho kutoka ktk hiyo halmashauri ya wabaniaji chief....pole bana pambana.
Hapana, huyu mwenzetu katumia ubunifu, amegundua viongozi wengi wanapenda kusafiri kwa ndege, kwa hiyo akiweka uzi wake hapa basi ni lazima utasomwa. na kwa kweli ujumbe wake umeefika
 
Jaman mi napenda kujua inafanya safari za wapi vp nawapi naomb kujua tuwasiliane 0715 00 54 50
 
Jaman mi napenda kujua inafanya safari za wapi vp nawapi naomb kujua tuwasiliane 0715 00 54 50

Dar-Mwanza-Dar, Dar-Kilimanjaro-Dar, baadaye wataingiza Zanzibar, Kampala, Mombasa, Nairobi etc kwa ujumla Precision isipoangalia ndio kifo chao
 
Back
Top Bottom