Sawa kaka ulitaka nitembee kwa miguu na mabegi yangu, poa!!!!
Tiba
Expensive ticket ili uwezekusikilizwa vizuri? Customer care kwenye mashirika ya ndege hapa TZ sizani kama inategemea na ughali wa tiketi. PW walikuwa ghali sana kabla FN hawajaanza safari zao hapa nchini; lakini walikuwa na lugha za kejeli na kutojali hivo hivo!Mkuu Mvaa Tai,
Asante kwa mchango wako. Lakini take it from me, I will go for expensive ticket with other airlines ili angalau kama kuna shida nisikilizwe kwa heshima kama mteja na wala sio kuwa treated kama kichaa au mpumbavu fulani hivi. Kumbuka tukio hili limenitokea karibu mwezi mzima uliopita lakini leo ndio nimeamua kulileta hapa jamvini hivyo sijasukumwa na hasira bali uhalisia. Walinifanya vibaya sana na hasa majibu ya huyo mwakilishi wao.
Tiba
Wewe - Masanilo acha hizo, wewe uje upige ofisini kwetu harafu uwe na shida na mimi utachimba chumvi ninavyowachukia wazungu et al, tena usilongwe nikakuhisi Mkenya umekwishaOfisi nyingi bongo ongea nao kwa kiingereza na hata mawasiliano fanya kwa kizungu lazima upate huduma wanababaika sana. Kuna siku niliwapigia CRDB kuulizia sim banking.....nikatema yai, walihangaika sana kupata walau wa kuelewa na kunielewesha.....jaribu sikumoja kuwapigia CCM makao makuu ongea kiingereza uone watakavyohangaika hata kukata simu yako.
Nitaendelea kuwashukuru FASTJET kwa kuifanya nauli ya precisionair iwe chini.Expensive ticket ili uwezekusikilizwa vizuri? Customer care kwenye mashirika ya ndege hapa TZ sizani kama inategemea na ughali wa tiketi. PW walikuwa ghali sana kabla FN hawajaanza safari zao hapa nchini; lakini walikuwa na lugha za kejeli na kutojali hivo hivo!
Wewe - Masanilo acha hizo, wewe uje upige ofisini kwetu harafu uwe na shida na mimi utachimba chumvi ninavyowachukia wazungu et al, tena usilongwe nikakuhisi Mkenya umekwisha
Wewe - Masanilo acha hizo, wewe uje upige ofisini kwetu harafu uwe na shida na mimi utachimba chumvi ninavyowachukia wazungu et al, tena usilongwe nikakuhisi Mkenya umekwisha
Kawaida local flights una-check in 1 hour before departure, lakini wauza tiketi wamezoea kutuandikia 2 hours before departure.Hizo sheria umezitoa wapi mkuu?
Naomba msaada ili nisije kufumaniwa.....
Hadi leo najua kuwa local flights in saa 1 kabla ya safari na international flights in 2-3hrs.
Hizo za kwako umezitoa wapi kaka?
Babu DC!!
Ulikuwepo wakati yule bibi akitugawia Ndizi pale waiting longe baada ya kuboard na kushushwa?
Siku ile pia nilipata mkasa mkubwa ambao kwakweli nimewasalute Wadada!
Mara nyingi huwa natumia precision lkn on that day nikaamua nirudi na fast jet!
Nilifika airport saa 8:50 nilicheckin na kua longe.
Baadaye kidogo tukatangaziwa kuboard
Kabla sijakaribia ngazi zakuingia ndani tukasimamishwa.
Tukaambiwa bado ndege aijawa tayari,zoezi la kutusimamisha lilikua likifanywa na dada kama kazee Ivi kakizungu kamevaa sketi njano na brauzi nyeupe. .
Mkasa mre fu huu...
aiseee kumbe ni majanga hivi? hakuna sehemu ya kuwashtaki?
Jamani mbavu zangu, yaani nimecheka mpaka basi. Unajua kufanya hivyo mpaka uwe na guts la sivyo wengine tuliumbwa na nyuso za aibu na woga. Ulichokisema ni kweli customer care ni janga la kitaifa. Unakuta mtu anamhudumia mteja halafu anampandishia sauti, can you imagine?
Tiba
Dr.haiyaaaa.....kijukuu cha Alladin.......
hadi maafa yatokee ndo wataundiwa tumehiyo siku fast jet imepata hitilafu mdogo wangu alikuwamo, na nilileta uzi humu ndani usiku huo huo kuelezea kuwa ndege ya fast jet ilitua muda muda baada ya kupaa angani! kimsingi hawa jamaa kwasasa wameshindwa kazi na wanahatarisha usalama wa abiria inabidi wachunguzwe kwa umakini
yaani nchi hii ni dustibin kila kitu kibaya twatupiwa sisi...vingamuzi feki.ndege feki .vipodozi ,mafuta...shamba la bibi kila mtu anavunaSmile, kuwashtaki unaweza ila sasa huo muda? Kumbuka muda kidogo unaoupata unautumia kufanya shughuli za kukuongezea kipato ili kusupplement vimishahara vyetu vya kibongo!!!
Tiba
Mkweli umesema kweli; sasa dawa yake ipo na ndogo mkuu;yaani nchi hii ni dustibin kila kitu kibaya twatupiwa sisi...vingamuzi feki.ndege feki .vipodozi ,mafuta...shamba la bibi kila mtu anavuna