Mfalme wa Gheto
Member
- Jul 27, 2012
- 41
- 28
mimi kama mmoja wa watu wanaosafiri sana niliposikia huduma mpya za fastjet tanzania kwa gharama nafuu ya Tsh 32000 nikasema mkombozi kafika Tanzania kwa watu wa Dar-Mwanza na KLM. Nikasema hvi kama napenda dar express dar to arusha kwa Tsh 28000 kwa masaa karibu kumi, leo naambiwa natumia Tsh32000 tu kwa muda wa saa 1 na dk kama 20 hv, kwanza nilistaajabu tk hali iliyonifanya nijaribu kufanya utafiti wa hiyo fare yao.nilianza kwa kutembelea website yao ktk booking category.nilipoona jinsi mchanganuo wa cost yao ulivyo nikasema jamaa ameshajua kuwa watanzania ni watu wasiojua kufatilia jambo. Iko hivi fare exclusive vat and other cost ni Tsh 32000, ukibeba kabag kadogo utakalipia Tsh 8000, bag lisilozidi Kg 20(sport bag) utalilipia Tsh 32000. sasa hapa acha hiyo VAT ambayo ikianza kulipwa utalipa wewe, airport charge ambayo ni Tsh 10000.fanya sum utaona how much you should pay. kwa mantki hiyo watanzania hapa tumejidanganya wenyewe kwani kikichotumika ni busness tricks ktk kuvuta mind za clients. ndo mana kama mtfatilia gazeti la The Citizen la ijumaa iliyopita kama sikosei kuna mwakilishi toka precision airline kaelezea sana ktk hili na mwisho akasema hivi " Haitachukua muda kwa Watanzania kuelewa gharama halisi watakayolipa kwani ktk biashara hii ya usafiri utagundua gharama za uendeshaji zipo sawa na 40% ya mapato hutumika ktk oil" akaendelea kwa kusema hajaona drop down yoyote ktk booking yao kwa maana kuwa hawajaathiriwa vyovyote vile na ujio wa Fastjet zaidi ya kupata changamoto zaidi ktk uboreshaji wa huduma zao.
My take:
Ni wazi kuwa wenye ufahamu zaidi ktk huuma za usafiri wa anga wamegundua kuwa kama kuna diffence basi itakuwa ndogo na si kama inavyotamkwa na watu ktk vyombo vya habari. so tuwe tunasoma angalau watanzania wenzangu maana kila jambo ni sisi tu watanzania tunadanganywa thats too sad kusema kuwa hata wawekezaji wamegundua watanzania wengi ni mbumbumbu ktk masuala yanayowahusu wenyewe.
Sijaelewa maelezo hayajanyoka
kuna watu wameshaweka tiketi humu ya go an return hawa jamaa pamoja na cost zao zote ni very cheap huwezi fananisha na na precision air
mimi kama mmoja wa watu wanaosafiri sana niliposikia huduma mpya za fastjet tanzania kwa gharama nafuu ya Tsh 32000 nikasema mkombozi kafika Tanzania kwa watu wa Dar-Mwanza na KLM. Nikasema hvi kama napanda dar express dar to arusha kwa Tsh 28000 kwa masaa karibu kumi, leo naambiwa natumia Tsh32000 tu kwa muda wa saa 1 na dk kama 20 hv, kwanza nilistaajabu ktk hali iliyonifanya nijaribu kufanya utafiti wa hiyo fare yao.nilianza kwa kutembelea website yao ktk booking category.nilipoona jinsi mchanganuo wa cost yao ulivyo nikasema jamaa wameshajua kuwa watanzania ni watu wasiojua kufatilia jambo. Iko hivi fare exclusive vat and other cost ni Tsh 32000, ukibeba kabag kadogo utakalipia Tsh 8000, bag lisilozidi Kg 20(sport bag) utalilipia Tsh 32000. sasa hapa acha hiyo VAT ambayo ikianza kulipwa utalipa wewe, airport charge ambayo ni Tsh 10000.fanya sum utaona how much you should pay. kwa mantki hiyo watanzania hapa tumejidanganya wenyewe kwani kilichotumika ni busness tricks ktk kuvuta mind za clients. ndo mana kama mtafatilia gazeti la The Citizen la ijumaa iliyopita kama sikosei kuna mwakilishi toka precision airline kaelezea sana ktk hili na mwisho akasema hivi " Haitachukua muda kwa Watanzania kuelewa gharama halisi watakayolipa kwani ktk biashara hii ya usafiri utagundua gharama za uendeshaji zipo sawa na 40% ya mapato hutumika ktk oil" akaendelea kwa kusema hajaona drop down yoyote ktk booking yao kwa maana kuwa hawajaathiriwa vyovyote vile na ujio wa Fastjet zaidi ya kupata changamoto zaidi ktk uboreshaji wa huduma zao.
My take:
Ni wazi kuwa wenye ufahamu zaidi ktk huduma za usafiri wa anga wamegundua kuwa kama kuna diffence basi itakuwa ndogo na si kama inavyotamkwa na watu ktk vyombo vya habari. so tuwe tunasoma angalau watanzania wenzangu maana kila jambo ni sisi tu watanzania tunadanganywa thats too sad kusema kuwa hata wawekezaji wamegundua watanzania wengi ni mbumbumbu ktk masuala yanayowahusu wenyewe.
kaka mchanganuo wao unafahamika tuu sio mpaka uon tiketi ya mtu wewe nenda ktk website yao kwenye booking then we can talk. hivi kwa watz ambao asili yao lazima abebe mzigo akisafiri utamsaidia kweli ktk hili? pili nachid kama inavyofahamika hapo hakuna kitu inaitwa VAT sasa subiri waiweke then utakuja tena humu humu kukiri kuwa hakuna jipya.
Ukiacha ushabiki wa kibiashara na ushabiki kama wa waumini wa huduma moja. Mimi naona usafiri kwa Fast jet ni ukombozi, tunaomba isifanyiwe hujuma kama waleeeee, tunawakumbuka.
- bei ni sh 32000
- Bei yao ukiongeza na VAT (kwa wale wasiorudishiwa) ni kama 45000 au chini ya hapo,
- kama unataka chakula, menu ba bei utapewa
- kama una mzigo 8000 kwa 20kg za kwanza
- kama una zaidi 8000 kwa kila kilo ya ziada
kuna siri gani kuficha haya? Lazima tujue hizo breakdowns
pima mwenyewe, wenzio tumekata ticket za familia kwa bei ya ticket ya mtu mmoja ya precision.
Tunaipenda preciosion ila lazima wakubali changamoto, wasianze kujisifia kwa kuwakashifu wenzao, soko sasa ni lao, inabidi wagawane. Wajenge imani kwa kazi yao,
Halafu juzi nawasikia wazee wa mabasi yaendayo mikoani wanaomba nauli ipande kutoka 25,000/- ya sasa kwa arusha dar mpaka 44,000/-! kweli watakuwa wanabeba mizigo tu
Wawaue mende kwenye ndege zao, tunaogopa kula mikate kwa uwezekano kuwa imetembelewa na mende jamani hawana hela ya Expell
kuna watu wameshaweka tiketi humu ya go an return hawa jamaa pamoja na cost zao zote ni very cheap huwezi fananisha na na precision air