Fastjet: Kwa wale mlikuwa mnadhani itakuwa msaada kwa watanzania, someni hapa.

Jul 27, 2012
41
28
mimi kama mmoja wa watu wanaosafiri sana niliposikia huduma mpya za fastjet tanzania kwa gharama nafuu ya Tsh 32000 nikasema mkombozi kafika Tanzania kwa watu wa Dar-Mwanza na KLM. Nikasema hvi kama napanda dar express dar to arusha kwa Tsh 28000 kwa masaa karibu kumi, leo naambiwa natumia Tsh32000 tu kwa muda wa saa 1 na dk kama 20 hv, kwanza nilistaajabu ktk hali iliyonifanya nijaribu kufanya utafiti wa hiyo fare yao.nilianza kwa kutembelea website yao ktk booking category.nilipoona jinsi mchanganuo wa cost yao ulivyo nikasema jamaa wameshajua kuwa watanzania ni watu wasiojua kufatilia jambo. Iko hivi fare exclusive vat and other cost ni Tsh 32000, ukibeba kabag kadogo utakalipia Tsh 8000, bag lisilozidi Kg 20(sport bag) utalilipia Tsh 32000. sasa hapa acha hiyo VAT ambayo ikianza kulipwa utalipa wewe, airport charge ambayo ni Tsh 10000.fanya sum utaona how much you should pay. kwa mantki hiyo watanzania hapa tumejidanganya wenyewe kwani kilichotumika ni busness tricks ktk kuvuta mind za clients. ndo mana kama mtafatilia gazeti la The Citizen la ijumaa iliyopita kama sikosei kuna mwakilishi toka precision airline kaelezea sana ktk hili na mwisho akasema hivi " Haitachukua muda kwa Watanzania kuelewa gharama halisi watakayolipa kwani ktk biashara hii ya usafiri utagundua gharama za uendeshaji zipo sawa na 40% ya mapato hutumika ktk oil" akaendelea kwa kusema hajaona drop down yoyote ktk booking yao kwa maana kuwa hawajaathiriwa vyovyote vile na ujio wa Fastjet zaidi ya kupata changamoto zaidi ktk uboreshaji wa huduma zao.
My take:
Ni wazi kuwa wenye ufahamu zaidi ktk huduma za usafiri wa anga wamegundua kuwa kama kuna diffence basi itakuwa ndogo na si kama inavyotamkwa na watu ktk vyombo vya habari. so tuwe tunasoma angalau watanzania wenzangu maana kila jambo ni sisi tu watanzania tunadanganywa thats too sad kusema kuwa hata wawekezaji wamegundua watanzania wengi ni mbumbumbu ktk masuala yanayowahusu wenyewe.
 
mimi kama mmoja wa watu wanaosafiri sana niliposikia huduma mpya za fastjet tanzania kwa gharama nafuu ya Tsh 32000 nikasema mkombozi kafika Tanzania kwa watu wa Dar-Mwanza na KLM. Nikasema hvi kama napenda dar express dar to arusha kwa Tsh 28000 kwa masaa karibu kumi, leo naambiwa natumia Tsh32000 tu kwa muda wa saa 1 na dk kama 20 hv, kwanza nilistaajabu tk hali iliyonifanya nijaribu kufanya utafiti wa hiyo fare yao.nilianza kwa kutembelea website yao ktk booking category.nilipoona jinsi mchanganuo wa cost yao ulivyo nikasema jamaa ameshajua kuwa watanzania ni watu wasiojua kufatilia jambo. Iko hivi fare exclusive vat and other cost ni Tsh 32000, ukibeba kabag kadogo utakalipia Tsh 8000, bag lisilozidi Kg 20(sport bag) utalilipia Tsh 32000. sasa hapa acha hiyo VAT ambayo ikianza kulipwa utalipa wewe, airport charge ambayo ni Tsh 10000.fanya sum utaona how much you should pay. kwa mantki hiyo watanzania hapa tumejidanganya wenyewe kwani kikichotumika ni busness tricks ktk kuvuta mind za clients. ndo mana kama mtfatilia gazeti la The Citizen la ijumaa iliyopita kama sikosei kuna mwakilishi toka precision airline kaelezea sana ktk hili na mwisho akasema hivi " Haitachukua muda kwa Watanzania kuelewa gharama halisi watakayolipa kwani ktk biashara hii ya usafiri utagundua gharama za uendeshaji zipo sawa na 40% ya mapato hutumika ktk oil" akaendelea kwa kusema hajaona drop down yoyote ktk booking yao kwa maana kuwa hawajaathiriwa vyovyote vile na ujio wa Fastjet zaidi ya kupata changamoto zaidi ktk uboreshaji wa huduma zao.
My take:
Ni wazi kuwa wenye ufahamu zaidi ktk huuma za usafiri wa anga wamegundua kuwa kama kuna diffence basi itakuwa ndogo na si kama inavyotamkwa na watu ktk vyombo vya habari. so tuwe tunasoma angalau watanzania wenzangu maana kila jambo ni sisi tu watanzania tunadanganywa thats too sad kusema kuwa hata wawekezaji wamegundua watanzania wengi ni mbumbumbu ktk masuala yanayowahusu wenyewe.

Tanzania - Destinations - Fastjet - Fastjet
 
Attachments

  • index.jpeg
    index.jpeg
    7.4 KB · Views: 243
Ukiacha ushabiki wa kibiashara na ushabiki kama wa waumini wa huduma moja. Mimi naona usafiri kwa Fast jet ni ukombozi, tunaomba isifanyiwe hujuma kama waleeeee, tunawakumbuka.

- bei ni sh 32000
- Bei yao ukiongeza na VAT (kwa wale wasiorudishiwa) ni kama 45000 au chini ya hapo,
- kama unataka chakula, menu ba bei utapewa
- kama una mzigo 8000 kwa 20kg za kwanza
- kama una zaidi 8000 kwa kila kilo ya ziada

kuna siri gani kuficha haya? Lazima tujue hizo breakdowns

pima mwenyewe, wenzio tumekata ticket za familia kwa bei ya ticket ya mtu mmoja ya precision.
Tunaipenda preciosion ila lazima wakubali changamoto, wasianze kujisifia kwa kuwakashifu wenzao, soko sasa ni lao, inabidi wagawane. Wajenge imani kwa kazi yao,

Wawaue mende kwenye ndege zao, tunaogopa kula mikate kwa uwezekano kuwa imetembelewa na mende jamani hawana hela ya Expell
 
kuna watu wameshaweka tiketi humu ya go an return hawa jamaa pamoja na cost zao zote ni very cheap huwezi fananisha na na precision air

kaka mchanganuo wao unafahamika tuu sio mpaka uon tiketi ya mtu wewe nenda ktk website yao kwenye booking then we can talk. hivi kwa watz ambao asili yao lazima abebe mzigo akisafiri utamsaidia kweli ktk hili? pili nachid kama inavyofahamika hapo hakuna kitu inaitwa VAT sasa subiri waiweke then utakuja tena humu humu kukiri kuwa hakuna jipya.
 
Last edited by a moderator:
mimi kama mmoja wa watu wanaosafiri sana niliposikia huduma mpya za fastjet tanzania kwa gharama nafuu ya Tsh 32000 nikasema mkombozi kafika Tanzania kwa watu wa Dar-Mwanza na KLM. Nikasema hvi kama napanda dar express dar to arusha kwa Tsh 28000 kwa masaa karibu kumi, leo naambiwa natumia Tsh32000 tu kwa muda wa saa 1 na dk kama 20 hv, kwanza nilistaajabu ktk hali iliyonifanya nijaribu kufanya utafiti wa hiyo fare yao.nilianza kwa kutembelea website yao ktk booking category.nilipoona jinsi mchanganuo wa cost yao ulivyo nikasema jamaa wameshajua kuwa watanzania ni watu wasiojua kufatilia jambo. Iko hivi fare exclusive vat and other cost ni Tsh 32000, ukibeba kabag kadogo utakalipia Tsh 8000, bag lisilozidi Kg 20(sport bag) utalilipia Tsh 32000. sasa hapa acha hiyo VAT ambayo ikianza kulipwa utalipa wewe, airport charge ambayo ni Tsh 10000.fanya sum utaona how much you should pay. kwa mantki hiyo watanzania hapa tumejidanganya wenyewe kwani kilichotumika ni busness tricks ktk kuvuta mind za clients. ndo mana kama mtafatilia gazeti la The Citizen la ijumaa iliyopita kama sikosei kuna mwakilishi toka precision airline kaelezea sana ktk hili na mwisho akasema hivi " Haitachukua muda kwa Watanzania kuelewa gharama halisi watakayolipa kwani ktk biashara hii ya usafiri utagundua gharama za uendeshaji zipo sawa na 40% ya mapato hutumika ktk oil" akaendelea kwa kusema hajaona drop down yoyote ktk booking yao kwa maana kuwa hawajaathiriwa vyovyote vile na ujio wa Fastjet zaidi ya kupata changamoto zaidi ktk uboreshaji wa huduma zao.
My take:
Ni wazi kuwa wenye ufahamu zaidi ktk huduma za usafiri wa anga wamegundua kuwa kama kuna diffence basi itakuwa ndogo na si kama inavyotamkwa na watu ktk vyombo vya habari. so tuwe tunasoma angalau watanzania wenzangu maana kila jambo ni sisi tu watanzania tunadanganywa thats too sad kusema kuwa hata wawekezaji wamegundua watanzania wengi ni mbumbumbu ktk masuala yanayowahusu wenyewe.

Wewe kweli ni Mfalme wa Gheto, maana inaonekana huwa unajifungia gheto kuvuta bangi na kutengeneza imaginations like umetoka, unapaa hewani as if problem has gone away!!! Wewe inaelekea hakuna unalojua katika maisha yako! Sasa hetulia tukwambie...

Kodi yeyote unayoisikia au kuona imetozwa, anayelipa si mfanya biashara, bali ni wewe, mtuaji wa mwisho wa bidhaa au huduma. Mfnaya biashara anayo kodi yake anayolipa mwisho wa mwaka, tena anaruhusiwa kuilipa mara nne ndani ya mwaka unaofuata!! Kodi kama ya VAT ni kodi inayoklipwa na mtuaji kama wewe, kwa hiyo, hata hiyo sigara unayojifungia gheto kuvuta unalipa hiyo kodi. VAT kwenye sigara ndo hiyo hiyo iliyoko kwenye FastJet!!

Mkiwasikia wabunge wenu wanapiga kelele bungeni kulalamika kodi ya VAT ipunguzwe ujue anapiga domo kukupunguzia wewe mzigo!! Nenda kwenye ofisi ya FastJet ulizia bei ya ticket na hizo mlolongo mwengineo, utaona bado wana nauli ya chini sana!! Ukitoka hapo nenda kwa PrecisionAir uliza utaona tofauti!! Ukifanya hivyo rudi humu uanze kupiga domo...

POtherwise, kama wewe nimchaga, nenda kapande hiyo ndege itakusaidia na kukuepusha na maajali ya mabasi yanayotoa watu kafara. Over and out!!
 
kaka mchanganuo wao unafahamika tuu sio mpaka uon tiketi ya mtu wewe nenda ktk website yao kwenye booking then we can talk. hivi kwa watz ambao asili yao lazima abebe mzigo akisafiri utamsaidia kweli ktk hili? pili nachid kama inavyofahamika hapo hakuna kitu inaitwa VAT sasa subiri waiweke then utakuja tena humu humu kukiri kuwa hakuna jipya.

Hebu kwa uwazi fanya mchanganuo unavyojua wewe kwa airline zote mbili utuambie, ipi ni rahisi.
halafu jaribu kuwaza, je wale frequent fliers, wanakuwa na mizigo kiasi gani?
na wenye mizigo wanasafiri mara ngapi kwa mwaka??
Kama wewe namimi wote tunazo ticket au quotations zote mbili nadhani tunajua ipi ni cheaper, au sio??

Lakini kuwa bei rahisi sio kigezo cha kupendwa
Kuna wale watakaobaki na uaminifu kwa Precision kwa sababu nyingi sana.

sidhani kama soko lao litayumba, wana mambo mengi tu mazuri ikiwapo mtandao mkubwa, uzoefu, connection-watu muhimu Tanzania-si unajua (know-who)
 
Sina hakika na nauli lakini hii tabia ya KUDANGANYWA imezidi mno. Tunaambiwa ving'amuzi vinapatikana nchi nzima wakati SIO, hivi hawa watu HAWAMUOGOPI MUNGU?
 
Ukiacha ushabiki wa kibiashara na ushabiki kama wa waumini wa huduma moja. Mimi naona usafiri kwa Fast jet ni ukombozi, tunaomba isifanyiwe hujuma kama waleeeee, tunawakumbuka.

- bei ni sh 32000
- Bei yao ukiongeza na VAT (kwa wale wasiorudishiwa) ni kama 45000 au chini ya hapo,
- kama unataka chakula, menu ba bei utapewa
- kama una mzigo 8000 kwa 20kg za kwanza
- kama una zaidi 8000 kwa kila kilo ya ziada

kuna siri gani kuficha haya? Lazima tujue hizo breakdowns

pima mwenyewe, wenzio tumekata ticket za familia kwa bei ya ticket ya mtu mmoja ya precision.
Tunaipenda preciosion ila lazima wakubali changamoto, wasianze kujisifia kwa kuwakashifu wenzao, soko sasa ni lao, inabidi wagawane. Wajenge imani kwa kazi yao,

Halafu juzi nawasikia wazee wa mabasi yaendayo mikoani wanaomba nauli ipande kutoka 25,000/- ya sasa kwa arusha dar mpaka 44,000/-! kweli watakuwa wanabeba mizigo tu

Wawaue mende kwenye ndege zao, tunaogopa kula mikate kwa uwezekano kuwa imetembelewa na mende jamani hawana hela ya Expell

Mkuu huyu jamaa atakua ni mdau toka precision air ndio maana anajichanganya namna hii. tunashukuru kwa kutupa japo gharama halisi kwa makadirio. ila ukiacha makadirio gharama ni kama ifuatavyo:-

- bei ni sh 32000
- Bei yao ukiongeza na VAT-18% (kwa wale wasiorudishiwa) ni 37,760/- tu.
- kama unataka chakula, menu bar bei utapewa na utanunua kulingana na uwezo wako.
- kama una mzigo 8000 kwa 20kg za kwanza ikiwa tu mzigo wako hauwezi kuingia kwenye staff carrier, vinginevyo ni bure pamoja na kodi ni Tsh 9,440/-
- kama una zaidi 8000 kwa kila kilo ya ziada hii tuachane nayo maana hatsafirishi mizingo ya biashara.

Baada ya huo mchanganuo utagundua kuwa gharama halisi ya ndege hii ni Tsh 37,760/- au Tsh 47,200/- kama una mzigo usiozidi kilo 20 na unaumbo dogo la kutoshea staff carrier.
 
Jana nimesafiri toka Dar kuja KIA na Kesho narudi Dar kwa bei hiyo hiyo ya Sh. 86,000/= na nilikua na Begi la Kilo 12 nilipima, sikuchajiwa chochote. Kweli wabongo tunapenda kupiga domo bila utafiti. Fastjet wanatoa seat kadhaa kila trip kwa ajili ya promotion na ili uipate ukate mapema. Hata hivo bei zao hata bila promotion zipo chini na tayari Pressission wanakwenda mswaki.
 
kuna watu wameshaweka tiketi humu ya go an return hawa jamaa pamoja na cost zao zote ni very cheap huwezi fananisha na na precision air

Ni kweli kabisa. Cha msingi hapa Precision na makampuni mengine yajipange na wao wapunguze bei. Bei zao ni juu sana kwenda Mwanza utadhani unakwenda India!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom