CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
CHUAKACHARA that's a big lie
Kama kweli umetembea ungepaswa kuwa unajua kwamba usafiri wa anga (kwa abiria) ndio nafuu zaidi huko duniani. Nauli za Ryanair, Easyjet, American Eagle/Express unaweza kuzipata hata hapa kwenye mtandao.
Kuna nauli za Paundi 18 (sh 45,000).. Bristol (UK) to Barcelona (Spain)
Huko duniani ulikotembea ulipaswa kujua kwamba kwenye low cost airlines mizigo yote hulipiwa isipokuwa mzigo wa mkononi.
Huko duniani ulikotembea ulipaswa kujua kwamba ukinunua tiketi mapema utalipa hela kidogo kuliko ukichelewa ingawa wote tutakaa seat zilizopakana.
Huko duniani ulikotembea ulipaswa kujua kwamba meal and refreshments aboard low cost airline unalipia na unalipa haswa.
Sipendi nyie mliotembea dunia hii (kama Mkuu) kutufanya sisi tulobaki huku nyumbani tusojua kila kitu kisa hatujafika huko duniani mnakoendaga...
Kwa taarifa yako fastjet wameanza kuruka kuna wenye kulipa sh 86,000 na wenye sh 135,000 wengine sh 160,000 DARMZADAR kwenye ndege hiyo hiyo..
Kuanzia sasa napiga jaramba kukwea fastjet kitu 24 December,,,,nikishazoea kupanda ndege za hapa ntajaribu huko mnakoendaga nami nikapaone........
Mbona umeleta arguments ambazo zijaziongelea. mimi nasema nauli ya 32,000 Tsh or so. Mbona unasema ninalolisema! Kumbe sio 32,000 DAr-MWANZA. !!!!!!!!! ni 86,000, 135,000, 160,000 one way ticket .
By the way mbona unaongea na hasira as if una fundo na mimi?