mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
kwa bei yao hiyo mpaka wamachinga wataweza kupanda ndege sasa...mbona airport itakua ni kazi kutakavokua kumejaa kila siku..
Kwa bei hiyo hawatamudu let us wait and see!
Bora mkombozi fastjet kaja tusafishe nyota!
Bora mkombozi fastjet kaja tusafishe nyota!
Ni zile zilizokuwa 540 nipo uwanja wa mwanza airport najiandaa kuja dar kwa nje ni nzuri ngoja tusubiri huduma zao ndani tutawajuza.
Ni kweli ndiyo hao hao fly540, na ofisi ni zilezile. Huu utaratibu wa kubadilisha majina baada ya miaka mitano ili kukwepa kodi kuna vigogo serikali wanaofaidika nao. Ni baadhi ya matokeo ya sheria mbovu tulizonazo, na wabunge wetu wanafumba macho kama hawaoni. Jamani tunahitaji serikali za majimbo katika katiba mpya.
ngoja na si wengine tuonje radha ya ndege teh teh teh