FASTJET has taken over FLY 540 shares!

FASTJET has taken over FLY 540 shares!

Hebu nitajieni bei zake kwa shilingi za kitanzania kwa madaraja yote kama kuna madaraja tofauti , nione kama naweza kuitumia kuelekea Moshi this x - mass.
 
Congrats bt u need to extend ur flights to other cities like Mbeya
 
inaonekana umezoea kubambikiwa vitu bei.

Pamoja na kuwa unaandika kwa kejeli, nakwambia sio kubambikiwa, nauli kama hizo za usafiri wa ndege duniani hazipo, Kwa taarifa yako, Mimi nimetembea dunia hii sana sijawahi kukuta domestic air fare, leave alone international, za chini za usafiri wa ndege kama hizo. Nadhani kuna janja fulani tu ambayo itajulikana baadaye. If this is to be the fare, mabasi ya mwanza yatakufa kwa trip mbili wanazofanye per day. Bahati mbaya hatujuani ningelikutafuta nikakukumbusha!
 
9664_460046864031030_1331689802_n.jpg

Mwanza Hiyo!! with CEO Ed Winter
 
68441_460046870697696_1342331859_n.jpg

3rd from right, the CEO Ed Winter with cabin crew in Mwanza, at Mwanza International Airport.
 
Ahsante kiongozi.

Unaweza kunisaidia number zao za simu ili nifanye booking?
 
Pamoja na kuwa unaandika kwa kejeli, nakwambia sio kubambikiwa, nauli kama hizo za usafiri wa ndege duniani hazipo, Kwa taarifa yako, Mimi nimetembea dunia hii sana sijawahi kukuta domestic air fare, leave alone international, za chini za usafiri wa ndege kama hizo. Nadhani kuna janja fulani tu ambayo itajulikana baadaye. If this is to be the fare, mabasi ya mwanza yatakufa kwa trip mbili wanazofanye per day. Bahati mbaya hatujuani ningelikutafuta nikakukumbusha!

mkuu naamini muda ndio utakaoamua,ngoja tuone kama ni mapinduzi ya usafiri wa anga au mbinu tu za kibiashara.
 
Ahsante kiongozi. Unaweza kunisaidia number zao za simu kam a unazifahamu ili nifanye booking?
Namba zao sina, ila google naamini utapata kila kitu..zaidi tuwaombe wanajf wenye nazo watuwekee.!
 
Pamoja na kuwa unaandika kwa kejeli, nakwambia sio kubambikiwa, nauli kama hizo za usafiri wa ndege duniani hazipo, Kwa taarifa yako, Mimi nimetembea dunia hii sana sijawahi kukuta domestic air fare, leave alone international, za chini za usafiri wa ndege kama hizo. Nadhani kuna janja fulani tu ambayo itajulikana baadaye. If this is to be the fare, mabasi ya mwanza yatakufa kwa trip mbili wanazofanye per day. Bahati mbaya hatujuani ningelikutafuta nikakukumbusha!
CHUAKACHARA that's a big lie

Kama kweli umetembea ungepaswa kuwa unajua kwamba usafiri wa anga (kwa abiria) ndio nafuu zaidi huko duniani. Nauli za Ryanair, Easyjet, American Eagle/Express unaweza kuzipata hata hapa kwenye mtandao.

Kuna nauli za Paundi 18 (sh 45,000).. Bristol (UK) to Barcelona (Spain)

Huko duniani ulikotembea ulipaswa kujua kwamba kwenye low cost airlines mizigo yote hulipiwa isipokuwa mzigo wa mkononi.
Huko duniani ulikotembea ulipaswa kujua kwamba ukinunua tiketi mapema utalipa hela kidogo kuliko ukichelewa ingawa wote tutakaa seat zilizopakana.
Huko duniani ulikotembea ulipaswa kujua kwamba meal and refreshments aboard low cost airline unalipia na unalipa haswa.

Sipendi nyie mliotembea dunia hii (kama Mkuu) kutufanya sisi tulobaki huku nyumbani tusojua kila kitu kisa hatujafika huko duniani mnakoendaga...

Kwa taarifa yako fastjet wameanza kuruka kuna wenye kulipa sh 86,000 na wenye sh 135,000 wengine sh 160,000 DARMZADAR kwenye ndege hiyo hiyo..

Kuanzia sasa napiga jaramba kukwea fastjet kitu 24 December,,,,nikishazoea kupanda ndege za hapa ntajaribu huko mnakoendaga nami nikapaone........
 
Back
Top Bottom