FASTJET has taken over FLY 540 shares!

FASTJET has taken over FLY 540 shares!

Kwenye red uko sahihi - maana distance is not the thing kinacho-determine price. Gharama za kurusha ndege 800km in Europe haziwezi kulingana na za Dar. Why? bei ya mafuta ni tofauti, mishahara ni tofauti etc?

TIP: Kwenye biashara unaweza kutumia zaidi volume ku-generate profit au ukaamua kupandisha bei. Na kama umezunguka duniani utakuwa unajua retails business zinategemea zaidi kwenye volume mfano Walmart.

Naona kwenye red unanikejeli, sawa. Nakubali, ndio maana Mzee Mengi anaweza kupata faida kubwa kwa kuwa na volume kubwa ya mauzo ya Fanta, coca cole etc. Alikuwa hana ushindani hivyo hata ukapata senti mbili kwa 500 mls (kwa chupa moja) kwa mauzo ya milioni kadhaa a day, utapata faida kubwa sana. I can see biashara ya simu za mikononi, tangu enzi ni elfu moja! lakini volume ya customers ni kubwa- of course wanaweza cheza na time kwenye computer. Jamani kuzunguka dunia siyo hoja, hoja ni kuweza kuwa nje ukapenda kutalii hivyo utataka kujua bei za ndege. Kwa ndege both aspects matter-distance and volume! definitely ukiwa na volume kubwa unaweza kupunguza bei lakini to a certain limit beyond which you will operate at a loss! Labda uwalalie wafanyakazi kwa kuwaminya maslahi yao-kama ulivyosema factors ni nyingi. Kwa hapa TZ wanaweza kuwaminya wafanyakazi wanavyotaka, ndio maana nasema common sense mambo mengine inakupa jibu na ka elimu kidogo. Nielimishe ndugu, looks we ni mchumi. Mimi ni biologist
 
Wabongo ni viumbe wasahaulifu sana. Ni watu wa kuridhika na kuvimbiwa haraka matokeo yake kuna watu wanatumia mwanya huo kujinufaisha. Ni nani anakumbuka kwamba*hii ndege inayoitwa Fast Jet wanayoishangilia kwa kuwa nauli yake ni nafuu ndio ile ile iliyoitwa 540 miezi michache iliyopita?? Tena wanatumia ofisi zile zile,,kwanini wamebadili jina na kuja kivingine?? Tujenge mashaka...
 
Wabongo ni viumbe wasahaulifu sana. Ni watu wa kuridhika na kuvimbiwa haraka matokeo yake kuna watu wanatumia mwanya huo kujinufaisha. Ni nani anakumbuka kwamba*hii ndege inayoitwa Fast Jet wanayoishangilia kwa kuwa nauli yake ni nafuu ndio ile ile iliyoitwa 540 miezi michache iliyopita?? Tena wanatumia ofisi zile zile,,kwanini wamebadili jina na kuja kivingine?? Tujenge mashaka...
Sijui unataka nini katika hili. Kwa nini usifanye uchunguzi kidogo tu kwa kuangalia taarifa kwenye website Yao au kuulizia taarifa TCAA ambao ndiyo wanatoa leseni za biashara ya usafiri wa anga na pia wansimamia usalama wa uendeshaji wake. Mnyika unataka afanye nini katika ili?
 
Umesikika lakini siye walala hoi tunawaona kama nuru ya ukombozi. Mkimaliza uchunguzi tujulisheni tuliokuwa tunaona usafiri wa ndege kama anasa.
 
tatizo kujadili biashara ya mtu alie amua kujipangia bei anayoona inamlipa we unataka tukuamini kua hailipi wakati hata biashara ya bodaboda imekushinda.
Naona kwenye red
unanikejeli, sawa. Nakubali, ndio maana Mzee Mengi anaweza kupata faida
kubwa kwa kuwa na volume kubwa ya mauzo ya Fanta, coca cole etc. Alikuwa
hana ushindani hivyo hata ukapata senti mbili kwa 500 mls (kwa chupa
moja) kwa mauzo ya milioni kadhaa a day, utapata faida kubwa sana. I can
see biashara ya simu za mikononi, tangu enzi ni elfu moja! lakini
volume ya customers ni kubwa- of course wanaweza cheza na time kwenye
computer. Jamani kuzunguka dunia siyo hoja, hoja ni kuweza kuwa nje
ukapenda kutalii hivyo utataka kujua bei za ndege. Kwa ndege both
aspects matter-distance and volume! definitely ukiwa na volume kubwa
unaweza kupunguza bei lakini to a certain limit beyond
which you will operate at a loss
! Labda uwalalie wafanyakazi kwa
kuwaminya maslahi yao-kama ulivyosema factors ni nyingi. Kwa hapa TZ
wanaweza kuwaminya wafanyakazi wanavyotaka, ndio maana nasema common
sense mambo mengine inakupa jibu na ka elimu kidogo. Nielimishe ndugu,
looks we ni mchumi. Mimi ni biologist
 
fastjet wamefanya deal inayoitwa reverse takeover yan kampuni inanunuliwa na kila kilicho chake (wafanyakaz,assets management nk) na si kubadilisha jina tu,
source:african business magazine
 
tatizo kujadili biashara ya mtu alie amua kujipangia bei anayoona inamlipa we unataka tukuamini kua hailipi wakati hata biashara ya bodaboda imekushinda.

Wewe ni mpumbavu, hopeless guy! mambo ya daladala yanatoka wapi, huna maana. Sitasoma any posting of yours, I will just delete it!
 
Back
Top Bottom