Fastjet: Basi linalopaa angani

Fastjet: Basi linalopaa angani

Hata mimi nawakubali fastjest. Kwa punctuality hawana mpinzani bongo. Dege pia safi. Ila sasa japo in budget trip, hata maji ya uhai tu nongwa mhindi wetu! Una tofauti gani na bus la Falcon!
 
sasa jamaniiiii kule hewani kama chenji hawana wataendaje "duka la jirani" kuomba chenji!?????ingieni na chenji kamili muone kama watawanyang'anya na nyingine mlizoficha mfukoni!

kingine usitarajie makubwa ktk safari ya dk 50 kama ile ya masaa 6+!
 
Watanzania muwe na shukrani wakati mwingine. Sisemi kuchikichia na chenji za wananchi ni jambo jema lakini wakati mwingine mnawatega bure. Unanunua bites za buku mbili jero then unaangusha hapo msimbazi safari ya dk50. Na mko angani.hamna kibanda cha mangi huko juu eti tuseme ataenda kuomba chenji mara moja. I think it is a professional of telling you guys that they are really sorry n that they cant provide a change so tembea zako huko lakini siku nyingine uje na chenji kamili.
Lets be considerate kidogo basi heeeeeeee!!

dah at least umesema,, ata kwa economies of life kwanini uache kunywa maji ya chupa ndogo kwa 500/- ukiwa nje ya airport mpaka ukanywe maji ya chupa ndogo kwa 3000/- ati kwa vile umesafiri kwa ndege alafu watoa 10000/- wataka upewe chenchi hewani,, nadhani na ulimbukeni wachangia pia hapa na kutokuwa logical
 
Pamoja sana ndugu!

With time haka kaulimbukeni kataisha tu. God bless FJ aka kasuku!!
 
Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.

Umeenda kusafiri au kusikiliza english????
 
Hivi hizo bei nafuu wanazosema zinapatika four weeks before mbona cjawahi kubahatika tarehe tatu march nimeulizia kia mza tarehe tatu april naambiwa laki mbili tisini na sita elfu hii ndege wanaofaidi ni wale wenzangu na mie nataks kwenda dar may wa safari zisizo na tarehe tunaumia sana
 
Safari ya masaa mawili u anakula nini hasa kama si mbwembwe tu, usiyekula makande yako nyumbani ukashiba, ukapiga na maji yako ya dawasco, ukaenda jitia mbwembwe kwenye ndege, ngoja mzulumiwe tu!! Afterall, buku mbili kitu gani, umelipa laki kadhaa bana!!
 
Kuna siku moja natoka MWZ kuja DAR, pale Airport ya Mwanza nje kuna kale ka-bar kapo opposite, kuna babu mmoja akawa anapiga ugali wa muhogo na sangara, kumbe nae alikuwa ni msafiri, tulipokuwa angani akainuka kwenda toilet ile ya kule mbele karibu na mlango wa cockpit, nadhani aliharisha sana yule babu masikini maana baada ya kutoka choo kile kilifungwa na abiria wengine wote tukawa tunaelekezwa kutumia kile choo cha nyuma.
 
Uzuri wa mavi harufu...!!
 
Back
Top Bottom