Fastjet: Basi linalopaa angani

Fastjet: Basi linalopaa angani

Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kwelui pia.[/QUOTE

Kiingereza cha nini wakati lugha yetu ni kiswahili! Na tuko nyumbani!Kama huduma ni nzuri lugha ya kiswahili inatosha! Wachache wasiojua kiswahili wataelewa hicho kiingereza cha kuunga! Jaribu kupanda Egypt air uone, jamaa wanapiga kiaraabu tu! Kiingereza broken hakuna mfano!
 
Fastjet wajitahidi kwa customer care. maana kwanza customer service # 0685680538 na 0767007903 haipatikan, ikitokea ukaenda ofisini kwao (DOUBLE TREE &SAMORA ndo utajuta na majibu toka kwa wadada wao wakatisha tiketi
 
Natumaini wengi wetu tumepata bahati ya kupaa na Fastjet katika maeneo tofauti hawa jamaa kwa kweli wahudumu & huduma ndani ya ndege ni za kusikitisha yaani utafikiri umepanda basi la abiria.

Iweje huduma ambazo wanalipisha ukimpa hela kubwa (ya chenji) harudishi na huyo mhudumu hutamuona tena moaka unashuka kwenye ndege sijui hata wanaendaga kujifungia wapi.

Nimesafiri sana na hawa jamaa hasa KIA-DAR, DAR- MBEYA na DAR - MWANZA kila ukiwapa hela ya chenji hsabu maumivu, ukijidai kuuliza swali kwa kiingereza ndo umemkimbikiza mazima anazuga HOLD ON ndo anajidai bizeeee anakupita kama hakujui mpaka ndege inatua. ukienda ofisin kwao Daah Hatareee.

Ndugu zanguni Fastjet badilikeni

Hahahaha mkuu umenifurahisha sana eti ukiongea kingereza ndo unaharibu kabisa.
 
Kuna mchaga mmoja ni crew kwenye mmojawapo ya ndege ya fastjet yule jamaa ana lafudhi ya kichaga sasa nafikir katika kurahisisha mambo kaamua kujiandikia maelekezo yote kwenye karatasi anasoma word to word mwanzo-mwisho. Umetishaaa massawe
 
Kweli hata fikra zetu zimetawaliwa yaani mtanzania ambae hajui kiingereza unamcheka? Au unamshangaa? Ulikuwa unamuuliza maswali ya kiingereza wakati kiswahili unakijua ndio maana wamekukomesha wameondoka na chenji yako,,
 
Fastjet hawana makosa....jina linajitosheleza airline ya safari fupi na budget airline, next time nenda na change yako, kibongobongo wanajitahidi, Ulaya wana budget airline kama EasyJet na Rynair wanatengeneza siti za kusimama kama basi za mbagala
 
Wabongo nao bwana, wanapenda kula njiani, kama mchwa! We safari ya Lisaa manunuzi kwenye ndege ya nini?? Sijui ushamba
 
change ya nini??? kwani nauli mnalipia humo kwenye ndege???! au ndio maana umeita basi linalopaa?!
Somauelewe kwanza kiminyeo no 2;iweje wanatoa huduma,,,sijui niendelee kukuelekeza mpwa??
 
Kweli tupu. Crew wengi wa fast jet kiingereza mgogoro.hata yale maelezo ya jinsi ya kufunga mkanda na kujiokoa anasoma kwenye karatasi lakini Bado anachapia.ishu ya chenji ni Kweli pia.[/QUOT

Ulielewa hukuelewa? Acha hayo mambo ..ulitaka waliosoma St. Kayumba waende wapi?
 
sijawahikupandandege mpwa ;;ndomaananaulizampwa
Mpwa aijaaribikakitu hii ndege wananunua vinywaji ndani na msosi sasahapo ndipo jamaa wanalia awarudishiwi chenchi sasaa unaenda kwenye ndege name Doolatano urudishiwe doller mbilii wapinawapi. Good job team hii itawafanya mjena pesakamilii kwenye ndege
 
Mpwa aijaaribikakitu hii ndege wananunua vinywaji ndani na msosi sasahapo ndipo jamaa wanalia awarudishiwi chenchi sasaa unaenda kwenye ndege name Doolatano urudishiwe doller mbilii wapinawapi. Good job team hii itawafanya mjena pesakamilii kwenye ndege

ndio dawa yaohiOmpwauNaendAnnamIamiatU
 
Back
Top Bottom